G'taxi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 6,625
- 8,639
Msiwe mnadhani wanao itwa wapinzani kua wako sawa tu muda wote.Wananchi ndiyo wamemtandika amuache meya hausiki na maneno yake ya hovyo ndiyo yamewachefua wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msiwe mnadhani wanao itwa wapinzani kua wako sawa tu muda wote.Wananchi ndiyo wamemtandika amuache meya hausiki na maneno yake ya hovyo ndiyo yamewachefua wananchi
Wameanza kutafunana wenyewe kwa wenyewe. Wananchi walio wapiga kura wametulia pembeni wanaangalia futuhi laoOctober election loading...
Jr[emoji769]
Kwa hiyo Bwire ndo Mbowe?Waitara anachukiwa na mafisadi. Hasa baada ya kuibuia kashfa ya mbowe kulipwa deni hewa la mil 50 na kukwapua bil 8.
RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara.
RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike kituoni kwa mahojiano.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Bwire ni miongoni mwa watu wanategemea watia nia jimbo la tarime vijijini so hiyo ni siasa tu.Sasa ndio itajulikana Meya na Naibu waziri nani ni nani!!
Siyo kidogo na engineer NyamhangaInaonekana kuna mchuano mkali wa kugombea ubunge kati ya Waitara na Bwire huko kwao.
Kumbe mayor alipanga huu upuuzi
Bwire sio Mbowe.Kwa hiyo Bwire ndo Mbowe?
Bwire ni Chadema eeeenh au ndo nmeanza kutafunana ndaa kwa ndaaRPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara.
RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike kituoni kwa mahojiano.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Angekuwa Chadema huo umeya angeupatia wapi bwashee?!!
Si ndo maana Hata Jacob wa Ubungo ni CCM jombaaAngekuwa Chadema huo umeya angeupatia wapi bwashee?!!
Kwani Jacob ni Meya bwashee?!!!!
Ni Meya wa UbungoKwani Jacob ni Meya bwashee?!!!!