johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
October election loading...RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara.
RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike kituoni kwa mahojiano.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Acha kupotosha.Wananchi ndiyo wamemtandika amuache meya hausiki na maneno yake ya hovyo ndiyo yamewachefua wananchi
Yohana Yohana hujatumia neno zuri. Waitara hakufurushwa aliondoka baada ya kuona wapuuzi wanafanya vurugu. Acha polisi wamshughulikie meya.RPC wa Mwanza Jumanne amesema jeshi la polisi limefanikiwa kumkamata meya wa jiji la Mwanza mh Bwire anayedaiwa kuandaa vijana waliomtukana na kutaka kumpiga Naibu waziri wa Tamisemi Mwita Waitara.
RPC Jumanne amesema Bwire amekamatwa baada ya kushindwa kuitikia wito wa polisi uliomtaka afike kituoni kwa mahojiano.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Waitara amekuwa mwiba kwa mafisadi.Kumbe mayor alipanga huu upuuzi
Sasa ndio itajulikana Meya na Naibu waziri nani ni nani!!Wananchi ndiyo wamemtandika amuache meya hausiki na maneno yake ya hovyo ndiyo yamewachefua wananchi
Waitara anachukiwa na mafisadi. Hasa baada ya kuibuia kashfa ya Mbowe kulipwa deni hewa la mil 50 na kukwapua bil 8.Hivi Waitara mbona ameanza kutia usumbufu wakati wananchi ndio hawamtaki
Hapana mkuu semeni ni chadema itawapendeza zaidi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe mayor alipanga huu upuuzi
No wonder Maxence Melo alikutolea mfano wewe kwenye kupiga BLOCK.Kumbe mayor alipanga huu upuuzi
Kama kweli alipanga hao wahuni ashuhulikiwe vilivyoHivi Waitara mbona ameanza kutia usumbufu wakati wananchi ndio hawamtaki