M mkaruka ataja rinu JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 3,527 Reaction score 2,469 May 31, 2020 #61 Daudi Mchambuzi said: Wananchi ndiyo wamemtandika amuache meya hausiki na maneno yake ya hovyo ndiyo yamewachefua wananchi Click to expand... Kumbe alitandikwa, au umeamua kujiongeza?
Daudi Mchambuzi said: Wananchi ndiyo wamemtandika amuache meya hausiki na maneno yake ya hovyo ndiyo yamewachefua wananchi Click to expand... Kumbe alitandikwa, au umeamua kujiongeza?
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,197 Reaction score 128,160 May 31, 2020 #62 mkaruka ataja rinu said: Kumbe alitandikwa, au umeamua kujiongeza? Click to expand... Amebarazwa hadi sukari imempanda hiyo ni zaidi ya kutandikwa
mkaruka ataja rinu said: Kumbe alitandikwa, au umeamua kujiongeza? Click to expand... Amebarazwa hadi sukari imempanda hiyo ni zaidi ya kutandikwa
K kolola JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 7,185 Reaction score 9,425 May 31, 2020 #63 Ilisolokobwe said: waitara ni mbunge ajaye Tarime vijijini tunampenda wana Tarime asikatishwe tamaa na mtu yeyote. japo bwire nae analitaka jimbo lakini nafasi bado hana. Click to expand... Pamoja na kuwa ni nje ya mada; Je, Serengeti safari hii ni nani? Naona Nyamete naye kakazana
Ilisolokobwe said: waitara ni mbunge ajaye Tarime vijijini tunampenda wana Tarime asikatishwe tamaa na mtu yeyote. japo bwire nae analitaka jimbo lakini nafasi bado hana. Click to expand... Pamoja na kuwa ni nje ya mada; Je, Serengeti safari hii ni nani? Naona Nyamete naye kakazana
Eng. Zezudu JF-Expert Member Joined Aug 23, 2012 Posts 8,024 Reaction score 11,546 May 31, 2020 #64 Wananchi wenye hasira Kali na njaa kali Sent using Jamii Forums mobile app
C chabusalu JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 8,084 Reaction score 5,210 May 31, 2020 #65 chagu wa malunde said: Tunajua Chadema mnachukia. Amewaaibisha sana mbele za umma. Click to expand... Umma upi?
chagu wa malunde said: Tunajua Chadema mnachukia. Amewaaibisha sana mbele za umma. Click to expand... Umma upi?