Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa

Sasa kwa nini aligombea udiwani? Kama yuko busy hawezi kuhudhuria vikao angeacha hiyo nafasi kwa watu wengine.
 
As simple as that much, mtu mkubwa kupotea, only that
 
Watangaze kata ipo wazi
 
Amefichwa?
 
Kijana upo mjini gani

Mbona wengine tuko chaka lakini mambo yenu yote ya mjini yapo kiganjani!
Aise kweli maana nasikia jamaa haonekani,kwenye vikao,haonekani nyumbani,haonekani shuleni
Anyway nasikia alikuwa kwenye mahusiano na dem A.M(code)hiyoo
Hebu zungukieni kwenye malodge tbt etc
Kwani matatizo yake hamyajui nyie

Ova
 
Tuanze na huyu Songoro anafahamu diwani wetu alipo !! asitusumbue
 
Inajulikana jamaa ni teja mzuri tu.
Waanze kumtafuta soberhouse za jijini.
 
Tobaa!! wenyewe kwa wenyewe mmeanza kutekana!!! Ahsante Mungu! suluhu itakuja tu
 
inawezekanaaa mwana mtu wa mitungi sana kuna nilimuonaga julliana pale amejificha hivi anakula heineken tuu
Kabla ya udiwani alikuwa anajihusisha na biashara gani
 
Au katekwa na Panya Road

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…