Manndasori
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 286
- 259
Kuna wajinga wamerithi tabia zake za kihayawaniSo mlisema haya mambo yaliisha kwa mwendazake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wajinga wamerithi tabia zake za kihayawaniSo mlisema haya mambo yaliisha kwa mwendazake?
Sasa kwa nini aligombea udiwani? Kama yuko busy hawezi kuhudhuria vikao angeacha hiyo nafasi kwa watu wengine.Muta Rwakatare diwani wa Kawe.
Muta Rwakatare ni rais wa chama cha ngumi Tanzania.
Muta Rwakatare ni mrithi wa Mali zote za mama yake Getruda Rwakatare kuanzia Kanisa na mashule yote ya St. Mary's ( Dar, Mbeya, Mwanza na Ifakara).
Muta Rwakatare hawezi kupoteza muda aje akae kwenye kikao Siku nzima kwa posho ya elfu 30.
Mafisi yanapokulana ni faraja kwa swala maana
Watangaze kata ipo waziMeya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten
Chadema jiandaeniWatangaze kata ipo wazi
Amefichwa?Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten
Kijana upo mjini ganiMeya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten
Tuanze na huyu Songoro anafahamu diwani wetu alipo !! asitusumbueMeya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten
Inajulikana jamaa ni teja mzuri tu.Kijana upo mjini gani
Mbona wengine tuko chaka lakini mambo yenu yote ya mjini yapo kiganjani!
Aise kweli maana nasikia jamaa haonekani,kwenye vikao,haonekani nyumbani,haonekani shuleni
Anyway nasikia alikuwa kwenye mahusiano na dem A.M(code)hiyoo
Hebu zungukieni kwenye malodge tbt etc
Kwani matatizo yake hamyajui nyie
Ova
inawezekanaaa mwana mtu wa mitungi sana kuna nilimuonaga julliana pale amejificha hivi anakula heineken tuuHiyo familia ni kama ina laana, wasitegemee kumuona kwa sasa.
Tobaa!! wenyewe kwa wenyewe mmeanza kutekana!!! Ahsante Mungu! suluhu itakuja tuMeya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten
TangiapoLabda kafichwa na Mzee Mdee
Du kumbe ni mtu wa pipi?inawezekanaaa mwana mtu wa mitungi sana kuna nilimuonaga julliana pale amejificha hivi anakula heineken tuu
Au ni chadema kama kawaida yako?Duh...!.
P
Kabla ya udiwani alikuwa anajihusisha na biashara ganiinawezekanaaa mwana mtu wa mitungi sana kuna nilimuonaga julliana pale amejificha hivi anakula heineken tuu
Au katekwa na Panya RoadMeya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: wwwchannel ten
basi gwaji kawe kamfichaWewe hata mumeo akishindwa kukutafuna utaisingizia Chadema
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app