Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa

Haya Rwakatare amekutwa amejificha kwa mrembo wa Kizaramo sasa sijui kosa la mrembo au Rwakatare!
 
Haya Rwakatare amekutwa amejificha kwa mrembo wa Kizaramo sasa sijui kosa la mrembo au Rwakatare!
Wahaya kwa bebez ni tabia ya asili.huyu nae ndo hivyo alikuwa kwa bebez Ashura ,mrembo wa kizaramo.wazaramo nanyny kwa waume za watu mmezidi. Yaani mtu anamng'ania mtu bila huruma ,angalau kumruhusu ahudhulie vikao .huyu mzaramo katisha
 
We nawe ujuaji tu. Hakuna cha ganda wala nini
 

Umeandika ujinga mpaka nahisi kama una Familia Basi Ina msiba wa kuishi na binadamu ambaye kafa kiakili.
 
Mama Rwalatare alipata mali kwa nia ya kupreempty waumini wake na makafarayamehusika sana, hizo mali zitaitesa hii familia mpaka basi
 
Umeandika ujinga mpaka nahisi kama una Familia Basi Ina msiba wa kuishi na binadamu ambaye kafa kiakili.
Hilo ni jibu rahisi kwa hoja nzito!!! ndo hii tabia na majibu ya vilaza weeeengi!! ... Mutu akifa akili still ataishi vepi?? ..... umesomea wapi kwanza wewe?? au umekusudia kuropoka tu?? ...Mtu km weye ndo mnasababisha shule zetu zinaitwa St. Kayumba!
 
JF bana kila kitu kinafahamika,
Ila Jamaa utakuwa ni ndugu wa ashura sio bure
 
Mama Rwalatare alipata mali kwa nia ya kupreempty waumini wake na makafarayamehusika sana, hizo mali zitaitesa hii familia mpaka basi
Hata km humjui Mungu!! ...hivi?? Rwakatare anawezaje husisha Mungu wa kweli na kafara bila kuumbuka?? kweli??.....au weye unaandika hapa kutokea kuzimu?? tumekustukia weye ujue??

kuwa weye ni mwenyeji wa kuzimu!! km siyo kweli basi dhihirisha hapa makafara hayo aliyo fanya Mama Rwakatare tuyajue! Wapi? nani? Lini? na ilikuwaje zaidi ya hapo wewe ni motoni moja kwa moja!! subiri uone!......

au Lah! mlikuwa wote akakupiga kibuti sasa leo umetoa siri...kwa sababu km hayo makafara yataitesa Familia si wao?? weye una umia na nin?? pilipili iso kuwa shambani kwako yakuwashia nini??...ni wazi ulikosa mgawo wa chochote sasa unapiga kelele humu!!!

Kama weye Makafara ya shetani yamekukataa sasa unaonea wivu wengine???...... fikiria tu hata shetani hakutaki!! kwa Mungu hakutaki umebakia kulalama tu!! afadhari yeye Mashtani yalimkubali kapeta mnoo mpka Bungeni!!

km haitoshi hayo Makafara yake basi ni mazuri mnoo!! kwakuwa yamejenga shule zake nyiiingi humo nchini TZ, wangapi wamesoma kupitia makafara ya huyo Mama?? Basi Jua anafaa sana kuliko weye mfu,

Hongera Mama Lwakatare, na siku ya hukumu tutakutetea na kukuombea Msamaha kwa nguvu zooote!! hakika tutanadamana kwa kazi zako nzuri kuwa ulikuwa njia sahihi na shujaa waa ukombozi wa Elimu ya mutu mweusi ......

na wewe kurunzi la wachawi nenda kafanye upembuzi utuletee shule nchi nzima! km ni rahisi ivo!! Nyambaf!! mijitu ya mbagala wivu tuuuu!!....... hata hayajifichi!! Mimasikini sijui yakoje haya!!

kwanza hata Mungu hayatambui! haya! ..kwa Mungu tutaenda matajiri kwa sana tu hata yeye ni tajiri! Maskini takataka nyie mtakuwa kuni tuu! za kuchoma wenye dhambi!!...siku ya mwisho mtashangaa wenzenu wanarudi kutoka paradisio wamejaa upako!

Nyie mtakuwa bado mnapanga foleni za vihepe hapo kwenye Madimbwi ya Rangi tatu!! sikutanii litunze tu hili bandiko langu uone maajabu ! km unabisha tunza bandiko langu hili mpaka siku ya mwisho ndo uttaamini maneno yangu1!

Usijidanganye kuwa eti utatubu!!!! kuna dhambi nyingine hazi sameheki......umefikia mahali pabaya mpaka unafanya mambo ya dhihaka na kumhusisha Roho Mtakatifu na Mashetani hii dhambi huchomokimo!....na dhambi nyingine hazi subiri...

ziko mle mle ndani ya kitendo chenyewe..........hujui mapepo menzako yalimtii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…