johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #101
John Mrema aligombea ubunge Tabata
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
John Mrema aligombea ubunge Tabata
Kwani nawe ni zao la utekaji alioufanya Mbowe kwa yule bi dada enzi zile!!??Mbowe kaanza mambo yake ya utekaji tena[emoji849][emoji849]
Hahaha[emoji23]Hongera ashuraView attachment 2236905
Kwahiyo?John Mrema aligombea ubunge Tabata
Mkuu au wasiojulikana wamerudi kwa mlango wa nyuma na hamsemi?Duh...!.
P
We wamjua AshuraKuna mchepuko kamfungia. Yasemekana ni mpiga mitungi mzuri sana huyu. Na mitungi na bebez ni mapacha wanaofanana
Haya Rwakatare amekutwa amejificha kwa mrembo wa Kizaramo sasa sijui kosa la mrembo au Rwakatare!Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.
Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo
Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro
Chanzo: www.channel ten
Wahaya kwa bebez ni tabia ya asili.huyu nae ndo hivyo alikuwa kwa bebez Ashura ,mrembo wa kizaramo.wazaramo nanyny kwa waume za watu mmezidi. Yaani mtu anamng'ania mtu bila huruma ,angalau kumruhusu ahudhulie vikao .huyu mzaramo katishaHaya Rwakatare amekutwa amejificha kwa mrembo wa Kizaramo sasa sijui kosa la mrembo au Rwakatare!
DahhhhKuna mchepuko kamfungia. Yasemekana ni mpiga mitungi mzuri sana huyu. Na mitungi na bebez ni mapacha wanaofanana
We nawe ujuaji tu. Hakuna cha ganda wala niniKama aliendeleza biashara ya NGADA baada ya mama yake kutwaliwa basi inawezekana wamedhulumiana na kwenye hiyo biashara ukijitia mjanja wanakupoteza!!! Wamuulize kaka yake mkubwa anaweza kujua mdogo wake aliko!
Songolo pia is a person of interest kama kweli huyu diwani katoweka; he is also mentioned as being involved in the illicit trade!!! Anaweza kujua kitu kizito kilichompata huyu diwani.
Kakutwa kalewaChama Cha walevi kaenda kulewa huyo
Atakuwa anafinyia kwa ndani AshuraHongera ashuraView attachment 2236905
Sio bure , utakuwa CHAWA wa Mutta wewe!! Ganda ndio nini?We nawe ujuaji tu. Hakuna cha ganda wala nini
Ndiyo!! Jiwe alishirikiana kwa karibu sana, na Membe!! Lengo lao ili wamfurahishe Rais Kikwete!.... na ili kikwetet atakapo maliza mda wake awafikirie kwenye teuzi za kugombea u rais!........
Jiwe akapata, lkn kawageuka wenzake faster tena wengi tu, akiwamo Boss wake wa zamanai pia Membe! jiwe akajifanya yeye mafia zaidi... kuumbe toto la kisukuma sijui mRundiyule?........, watoto wa mjini wakawa wanalichora tu kwa povu!
ndo maana, yeye huyo Membe akawa mwiba Lugumya maksudi tu.... kwenye utawala wa jiwe kwa kuwa jiwe alimgeuka wazi, akiamini Membe anataka muua huko mbele ya safari!! ...kwa kuwa Membe ni afisa usalama mbobevu hasa bin zoefu !!
anaweza kuua dakika sifuri kwa remote ya masafa, mbinu za kimafia alizo jifunza Urusi!....hili lilimtatiza kwa hofu kubwa sana jiwe na kila akijaribu kumuweka Membe mkononi mwake hakushikika.....hata jiwe alipo kufa alitamka wazi...''amenimaliza huyu bwana''
tafuta clip humu zinazo husu kifo cha jiwe utaziona zimo!......kwani unaona Membe kuna siku aliomboleza kifo cha jiwe??...alikuwa hamuogopi jiwe hata dakika sifuri! sababu alijua mapungufu lukuki ya utawala wa jiwe ''A to Z'' ni usipime.
Maskini wa Mungu jiwe hakujua Uwezo wa watu aliokuwa anapambana nao ambao walikuwa ni very vital kwa tawala zote, tangu zama za Edward Twinning! hili hakulijua kamweee!.....ukisha kuwa Rais popote Duniani lazima uwekwe kwenye mizania kwanza!
Kumbuka kwamba Dunia hii ina wenyewe hata uwe nani lazima upitishwe kwenye tanuru of know how!!...utake usitake, wakigundua ni wrong choice ndo km hayo ya jiwe!....JF keneddy nk!
Kumbuka jiwe wkt huo alikuwa waziri!! Maafisa usalama walikuwa wanamfundisha mbinu za kimafia!! pindi wao watakapo kuwa ktk uongozi wa juu!! lkn bahati mbaya nafasi ikamdondokea jiwe!
Jiwe kashindwa kuwaweka wenzie sawa akawageuka tena kwa kejeli mbaya,...... akidhania ni Rahisi ivo!! lkn jua Membe alinuna!!....alichoshindwa kujua jiwe ni kuwa Membe alikuwa kaiva ki mafia!...na kiusalama zaidi ya nchi! yule aliandaliwa kuua tu!
nchi hii imesukwa na ika sukika wapo wachache sana tunao jua mchezo ukiingia humu uwe flexible! uishi......
Hilo ni jibu rahisi kwa hoja nzito!!! ndo hii tabia na majibu ya vilaza weeeengi!! ... Mutu akifa akili still ataishi vepi?? ..... umesomea wapi kwanza wewe?? au umekusudia kuropoka tu?? ...Mtu km weye ndo mnasababisha shule zetu zinaitwa St. Kayumba!Umeandika ujinga mpaka nahisi kama una Familia Basi Ina msiba wa kuishi na binadamu ambaye kafa kiakili.
vipi mkuu ulikosea wapiSio kweli
JF bana kila kitu kinafahamika,Kijana upo mjini gani
Mbona wengine tuko chaka lakini mambo yenu yote ya mjini yapo kiganjani!
Aise kweli maana nasikia jamaa haonekani,kwenye vikao,haonekani nyumbani,haonekani shuleni
Anyway nasikia alikuwa kwenye mahusiano na dem A.M(code)hiyoo
Hebu zungukieni kwenye malodge tbt etc
Kwani matatizo yake hamyajui nyie
Ova
Hata km humjui Mungu!! ...hivi?? Rwakatare anawezaje husisha Mungu wa kweli na kafara bila kuumbuka?? kweli??.....au weye unaandika hapa kutokea kuzimu?? tumekustukia weye ujue??Mama Rwalatare alipata mali kwa nia ya kupreempty waumini wake na makafarayamehusika sana, hizo mali zitaitesa hii familia mpaka basi