Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa

Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa

Muta Rwakatare diwani wa Kawe.

Muta Rwakatare ni rais wa chama cha ngumi Tanzania.

Muta Rwakatare ni mrithi wa Mali zote za mama yake Getruda Rwakatare kuanzia Kanisa na mashule yote ya St. Mary's ( Dar, Mbeya, Mwanza na Ifakara).

Muta Rwakatare hawezi kupoteza muda aje akae kwenye kikao Siku nzima kwa posho ya elfu 30.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa kwann aligombea udiwani?
 
Kijana upo mjini gani

Mbona wengine tuko chaka lakini mambo yenu yote ya mjini yapo kiganjani!
Aise kweli maana nasikia jamaa haonekani,kwenye vikao,haonekani nyumbani,haonekani shuleni
Anyway nasikia alikuwa kwenye mahusiano na dem A.M(code)hiyoo
Hebu zungukieni kwenye malodge tbt etc
Kwani matatizo yake hamyajui nyie

Ova
Kheeeeeeeeh hatareeeeh.
 
Code hii mlishindwa kuingamuaaaa
We johnthebaptist vp tena nyie
Unaniangusha mzee

Ova
 
Kijana upo mjini gani

Mbona wengine tuko chaka lakini mambo yenu yote ya mjini yapo kiganjani!
Aise kweli maana nasikia jamaa haonekani,kwenye vikao,haonekani nyumbani,haonekani shuleni
Anyway nasikia alikuwa kwenye mahusiano na dem A.M(code)hiyoo
Hebu zungukieni kwenye malodge tbt etc
Kwani matatizo yake hamyajui nyie

Ova
Duuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwacheni baba wa watu apumzike hadi ulevi na uzinzi mnamsingizia
Apumzike wapi yule Mweee!! hivi unacheza na adhabu ya kaburi wewe dogo?? kwanza hakukumbuka kutubu kwa yesu wake mzungu!!...sasa fikiria mwenyewe kaenda wapi huyo??.....mwizi....

km uongo hela za kujengea Chato air port ziliidhinishwa na Bunge lipi??, sasa jiulize alizitoa wapi km siyo mwizi......riuaji, alitaka kumuua Lisu, sasa mwenzake anakula Bata.....ropo! ropo tuuu!! muoga wa wapinzani anatumia risasi kuwanyamazisha Rais gani yule!!!

angalia Mkwere alikuwa anawaita wapinzani Ikulu anakula nao Vyakula tele!! bila uoga, huyop hapo chalinze nzee anakula bata tu!! Duniani kote wanamuhitaji lkn huyo mfu hakualikwa hata zanzibar hapo
 
Huna lolote BASHITE wewe ndio ulitakiwa ufukiwe na KICHAA Magufuli, ulijitia baba baba kila wakati ukawasahau Mama Daudi na mumewe Kolomije. HAYAWANI waHEDI.
yaani wewe mkuu unaonekana ulitumbuliwa na jpm kwa wizi au matumizi mabaya ya ofisi haiwezekani umchukie jpm hivyo kila uchangiapo ni kumtukana tu
 
Alifichwaaaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Ashura Mungu anamwona.
IMG-20220524-WA0492.jpg
 
Meya wa Manispaa ya Kinondoni mh Songoro ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya habari kuwasaidia kumtafuta Diwani wa Kawe ambaye hajulikani alipo.

Songoro amesema mheshimiwa Lwakatare hajahudhuria vikao kwa muda mrefu na hata chama hakijui alipo

Fununu zinadai Lwakatare amefichwa mahali fulani ambako bado hawajapajua amesema Songoro

Chanzo: www.channel ten
Umewauliza familia yake??
 
Kijana upo mjini gani

Mbona wengine tuko chaka lakini mambo yenu yote ya mjini yapo kiganjani!
Aise kweli maana nasikia jamaa haonekani,kwenye vikao,haonekani nyumbani,haonekani shuleni
Anyway nasikia alikuwa kwenye mahusiano na dem A.M(code)hiyoo
Hebu zungukieni kwenye malodge tbt etc
Kwani matatizo yake hamyajui nyie

Ova
Na kapatikana huko huko Tabata.
Kweli wewe mutoto ya mujini mpambanaji ndugu mrangi .
 
Back
Top Bottom