Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Bonny hanunuliki....Bado mnawaza biashara za kununua watu?
Hakika ...Bon Yai anaweza ,sio mpeche mpeche.
Hakuna Kambi CHADEMA sisi sio CCM.✌️Yuko kambi ya mbowe au ya lisu?
Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa inayosambaa kwa kasi Duniani.
Kwa Maoni yangu ninaona kwamba Huyu Jamaa anafaa na wala sina mashaka naye hata Chembe, Anaijua Kanda ya Pwani, Fitna na sarakasi zake zote anazijua, ni mtu wa Mjini na wala si Mshamba
Tangazo lake hili hapa
View attachment 3084974
WEWE unaishi Dunia ipi?? Tuanzie hapoInasambaa Kwa Kasi Dunia ipi? Acha kuandika takataka
Mpeche mpeche ,siku hizi katulia kimia wenda kashauriwa kuacha makeke ya kihuni , unasemaje kwa mtu mzima kwamba utampiga shoo, ila binafsi namkubali sio mda nitamtembelee nile mihogo ya kisarawe na kuku wa kienyeji niongeze uzao wa wa watoto , sema jamaa yangu ana chombo bwanaBon Yai anaweza ,sio mpeche mpeche.
😆😆😆😆Mpeche mpeche ,siku hizi katulia kimia wenda kashauriwa kuacha makeke ya kihuni , unasemaje kwa mtu mzima kwamba utampiga shoo, ila binafsi namkubali sio mda nitamtembelee nile mihogo ya kisarawe na kuku wa kienyeji niongeze uzao wa wa watoto , sema jamaa yangu ana chombo bwana
Wewe mgeni jf , mnamjua Bony yai vipi hii chombo mkiijua ccm wote mtajificha chini ya uvungu wa kitanda na viatu miguuni ,Duuuuh! Eeeee bhana Eeeee!!!
NDO AKACHOKA KABISA AKAAMUA ARUDI CHAMA CHA MAMBUZI.Alishindwa kwenye uchaguzi ambao Yeye ndiye alikuwa mgombea Pekee
Aibu sana!
HapanaKwani yeye mwenyewe hawezi kujituma?
Tamaa ya madarakaHii ndio Taarifa Mpya kwa sasa inayosambaa kwa kasi Duniani.
Kwa Maoni yangu ninaona kwamba Huyu Jamaa anafaa na wala sina mashaka naye hata Chembe, Anaijua Kanda ya Pwani, Fitna na sarakasi zake zote anazijua, ni mtu wa Mjini na wala si Mshamba
Tangazo lake hili hapa
View attachment 3084974
Kwani ana madaraka gani?Tamaa ya madaraka
Tukuulize weweHakuna harufu ya rushwa?
Mimi au Lissu?Tukuulize wewe
na wewe mtume bwana akoHuyu ametumwa na Mbowe hakuna jipya
USSR
Zipo bwashee, acha kujifariji. Yaliyotokea kwenye uchaguzi wa msigwa vs sugu yametufumbua macho 👀Hakuna Kambi CHADEMA sisi sio CCM.✌️