Pre GE2025 Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Pre GE2025 Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Bado mnawaza biashara za kununua watu?
Bonny hanunuliki....

Namjua vyema..."CHA PUA" hicho...

Mtata mtatuzi....jamaa ana moyo mgumu sana....

Ingekuwa yuko kule "palestina hamas" angekuwa mkuu wa "operesheni za kujitoa muhanga na kujilipua "...naye angekuwa AMESHAJILIPUA siku nyingi[emoji1787][emoji1787]

Kulee....atajipeleka tu mwenyewe [emoji1787]
 
Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa inayosambaa kwa kasi Duniani.

Kwa Maoni yangu ninaona kwamba Huyu Jamaa anafaa na wala sina mashaka naye hata Chembe, Anaijua Kanda ya Pwani, Fitna na sarakasi zake zote anazijua, ni mtu wa Mjini na wala si Mshamba

Tangazo lake hili hapa

View attachment 3084974
 
Attachments

  • IMG-20240901-WA0034.jpg
    IMG-20240901-WA0034.jpg
    126.9 KB · Views: 1
Mpeche mpeche ,siku hizi katulia kimia wenda kashauriwa kuacha makeke ya kihuni , unasemaje kwa mtu mzima kwamba utampiga shoo, ila binafsi namkubali sio mda nitamtembelee nile mihogo ya kisarawe na kuku wa kienyeji niongeze uzao wa wa watoto , sema jamaa yangu ana chombo bwana
😆😆😆😆
 
Hii ndio Taarifa Mpya kwa sasa inayosambaa kwa kasi Duniani.

Kwa Maoni yangu ninaona kwamba Huyu Jamaa anafaa na wala sina mashaka naye hata Chembe, Anaijua Kanda ya Pwani, Fitna na sarakasi zake zote anazijua, ni mtu wa Mjini na wala si Mshamba

Tangazo lake hili hapa

View attachment 3084974
Tamaa ya madaraka
 
Back
Top Bottom