Pre GE2025 Meya wa Zamani wa Ubungo na Kinondoni Boniface Jackob, atangaza nia kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hizo hela za Mama Abdul ziliingizwa ili zizue taharuki.
Makamu Mwenyekiti alitutonya ili tuwe makini,kwahiyo hiyo Rushwa ni ya CCM wanataka kuiambukiza CHADEMA mifumo yao ya RUSHWA.
Haijalishi pesa zimetoka wapi, ukweli mchungu ni kwamba ndani ya chama kuna rushwa, na chaguzi zinazoendelea zinafanyika kwa rushwa.
Inashangaza unakiri kuwa 'hela zimeingizwa' halafu unapinga kuwa hakuna rushwa!
Btw, tuliambiwa kuwa kila mmoja ameshachukua kitu kidogo!
 
Huna hoja
 
Perfect choice jamaa ni mpambanaji,Ningependa kanda ingine awepo Twaha au Malisa vijana wanajituma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…