imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Mchungaji Msigwa alishindwa kihalali.Zipo bwashee, acha kujifariji. Yaliyotokea kwenye uchaguzi wa msigwa vs sugu yametufumbua macho đź‘€
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchungaji Msigwa alishindwa kihalali.Zipo bwashee, acha kujifariji. Yaliyotokea kwenye uchaguzi wa msigwa vs sugu yametufumbua macho đź‘€
Inaelekea hukuiona rushwa iliyotembezwa na kundi la mbowe. Mpaka ikabidi lisu aseme wazi kabisa kuwa chadema inanuka rushwa.Mchungaji Msigwa alishindwa kihalali.
Uongo uliwahi kukusaidia niniInaelekea hukuiona rushwa iliyotembezwa na kundi la mbowe. Mpaka ikabidi lisu aseme wazi kabisa kuwa chadema inanuka rushwa.
Nimeongopa wapi?Uongo uliwahi kukusaidia nini
Hizo hela za Mama Abdul ziliingizwa ili zizue taharuki.chadema inanuka rushwa.
Haijalishi pesa zimetoka wapi, ukweli mchungu ni kwamba ndani ya chama kuna rushwa, na chaguzi zinazoendelea zinafanyika kwa rushwa.Hizo hela za Mama Abdul ziliingizwa ili zizue taharuki.
Makamu Mwenyekiti alitutonya ili tuwe makini,kwahiyo hiyo Rushwa ni ya CCM wanataka kuiambukiza CHADEMA mifumo yao ya RUSHWA.
Huna hojaHaijalishi pesa zimetoka wapi, ukweli mchungu ni kwamba ndani ya chama kuna rushwa, na chaguzi zinazoendelea zinafanyika kwa rushwa.
Inashangaza unakiri kuwa 'hela zimeingizwa' halafu unapinga kuwa hakuna rushwa!
Btw, tuliambiwa kuwa kila mmoja ameshachukua kitu kidogo!
Kwani yeye mwenyewe hawezi kujituma?
Una viojaHuna hoja
Kwani ulitaka atumwe na Msigwq?Huyu ametumwa na Mbowe hakuna jipya
USSR