INAUZWA Meza ya dinning mninga bado mpyaaaa

INAUZWA Meza ya dinning mninga bado mpyaaaa

Meza imara sana na kubwaa mninga og nipigie 0675326254 wanaojua kuhusu mninga sidhani kama wanashaka na hili
20201208_142215.jpg
 
Utakuwa na shida ya pesa ya haraka.
Hii meza nilitegemea itakuwa million 1.5 - 1.9
Kwa bei za mbao mzinga na ufundi wake lazima igharimu zaidi 1,500,000. .

Hii ni ID yake nyingine![emoji41]
 
Hii ni ID yake nyingine![emoji41]
Maneni ya mtu aliyefeli
I don't even remember his ID name huyo aliyepost. Msiharibu biashara za watu, watanzania kama nyie mna roho za ajabu sana. .
 
Maneni ya mtu aliyefeli
I don't even remember his ID name huyo aliyepost. Msiharibu biashara za watu, watanzania kama nyie mna roho za ajabu sana. .
Tatizo humu kuna watoto wa mama bado wananyonya maziwa makwao...wengine bado wanakaa kwa shemeji zao
Wasikuumize vichwa

Ova
 
Tatizo humu kuna watoto wa mama bado wananyonya maziwa makwao...wengine bado wanakaa kwa shemeji zao
Wasikuumize vichwa

Ova
Tatizo watanzania sio watu wa kupenda kujifunza. Hata ukimwelimisha hawaelimiki. .
 
Nasikitika kuwa mtu wa kwanza kukufahamisha kuwa unaishi katika dunia ndogo sana ndugu yangu. .
Jitahidi utoke ndani ya duara lako dogo utajifunza vitu vingi sana. Kama ungekuwa ushawahi hata kununua mbao moja usingebisha ila kwa sababu hujawahi utabaki na ubishi. Mie nina meza ya Tsh. 2,000,000/- kunambia nikanunue sidhani kama unaona unanikomoa. .
Kuna kupigwa pia, Inawezekana umepigwa hiyo bei
 
Kabisa na wavivu kusoma

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kila jambo lina mda
Ndo mana wengi wananuniua vitanda vya chuma wanajiona wajanja sana
Kiuhalisia vitanda vya mbao ngumu bei sana

Kuna duka keko furniture, bei zake mawe sana. Bidhaa zao zina ubora wanauza ulaya bongo wananunua vitu vingi ubora mdogo. Mtu anayenunua kabati la nguo la kichina hawezi elewa kabati la mninga lina ubora gani. .
 
Hio Bei dah kwani unahitaji ugumu gani kwenye meza ya dinning mpaka utumie mninga ? Kwani unakula ugali wa mawe
 
Back
Top Bottom