kiba brown
Member
- Mar 8, 2018
- 70
- 46
- Thread starter
- #21
Meza imara sana na kubwaa mninga og nipigie 0675326254 wanaojua kuhusu mninga sidhani kama wanashaka na hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kimoja 120,000Mtu akitaka hcho kiti kimoja sh ngap mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Meza nzuri ila chakula cha kuweka hapo bado sijapata.
Utakuwa na shida ya pesa ya haraka.
Hii meza nilitegemea itakuwa million 1.5 - 1.9
Kwa bei za mbao mzinga na ufundi wake lazima igharimu zaidi 1,500,000. .
Maneni ya mtu aliyefeliHii ni ID yake nyingine![emoji41]
Meza nzuri ila bado napanga tena chumba kimoja.Meza nzuri ila chakula cha kuweka hapo bado sijapata.
Viti pekee unauza? Bei gani?MEZA YA DINNING MNINGA MPYAA KABISAA
meza ni mninga tupu urefu futi 6 upana futi 4
Viti vyake vya sofa vipo 6 best quality
Price 1,200,000
Nipigie kwa namba 0675326254
Nipo Tabata Segerea
View attachment 1644671View attachment 1644672View attachment 1644673View attachment 1644674View attachment 1644675View attachment 1644676
120,000Viti pekee unauza? Bei gani?
Tatizo humu kuna watoto wa mama bado wananyonya maziwa makwao...wengine bado wanakaa kwa shemeji zaoManeni ya mtu aliyefeli
I don't even remember his ID name huyo aliyepost. Msiharibu biashara za watu, watanzania kama nyie mna roho za ajabu sana. .
Tatizo watanzania sio watu wa kupenda kujifunza. Hata ukimwelimisha hawaelimiki. .Tatizo humu kuna watoto wa mama bado wananyonya maziwa makwao...wengine bado wanakaa kwa shemeji zao
Wasikuumize vichwa
Ova
Kabisa na wavivu kusomaTatizo watanzania sio watu wa kupenda kujifunza. Hata ukimwelimisha hawaelimiki. .
Kuna kupigwa pia, Inawezekana umepigwa hiyo beiNasikitika kuwa mtu wa kwanza kukufahamisha kuwa unaishi katika dunia ndogo sana ndugu yangu. .
Jitahidi utoke ndani ya duara lako dogo utajifunza vitu vingi sana. Kama ungekuwa ushawahi hata kununua mbao moja usingebisha ila kwa sababu hujawahi utabaki na ubishi. Mie nina meza ya Tsh. 2,000,000/- kunambia nikanunue sidhani kama unaona unanikomoa. .
Piteni kwenye furnitures zilizopo pugu road na kwengineko muone bei zao nenda na keko piaKuna kupigwa pia, Inawezekana umepigwa hiyo bei
Mkuu, samahani naomba unifahamishe hyo skimming ya ukutani ni ya aina gani au ni rangi?MEZA YA DINNING MNINGA MPYAA KABISAA
meza ni mninga tupu urefu futi 6 upana futi 4
Viti vyake vya sofa vipo 6 best quality
Price 1,200,000
Nipigie kwa namba 0675326254
Nipo Tabata Segerea
View attachment 1644671View attachment 1644672View attachment 1644673View attachment 1644674View attachment 1644675View attachment 1644676
Ukiw unajua bei za mbao mbona unaelewa tuKuna kupigwa pia, Inawezekana umepigwa hiyo bei
Kila jambo lina mda