Mfadhili mkubwa wa Hezbollah akamatwa


Ni magaidi wa dini bana, wapigwe....
 
Haya.
 
Ni magaidi wa dini bana, wapigwe....
US wana uhasama na hezb, wa tangu miaka ya 80,, kambi ya jeshi la marekani mjini beirut, Lebanon ililipuliwa na wanamgambo hao wa hezb, US marine 295 wakafa hapo hapo, baada ya hapo US waliondoa majeshi yao kutoka lebanon, kipindi hicho US walikua wanasupport wanamgambo wa General michael Aun,, sasa hawa christian militias supported by israel and US walikua wanapigana civil war, beirut,, inasemekana waliingia kambi ya wakimbizi shatila(kama sikosei),wakachinja wakimbizi wa lebanon kama kuku, zaidi ya 300,,
Baada ya kambi ya jeshi la US kulipuliwa, wananchi wa marekani waliandamana na kutaka US marine waondolewa, lebanon,
Hivyo mpaka kesho, Hezbollah itakuwa na uhasama na US,,
US wamekuwa wakiwa target viongozi wa hizb, kila wanapopata upenyo ili kulipa kisasi cha kupoteza marine wao 295 kwa mpigo
 

Unasema inasemekana, ina maana unatunga, ila hao Hezbollah magaidi wa dini tumeshuhudia matukio yao ya ugaidi.
 
Unasema inasemekana, ina maana unatunga, ila hao Hezbollah magaidi wa dini tumeshuhudia matukio yao ya ugaidi.
Kama tukio gani bosi?, Taja angalau mojaπŸ€·πŸ»β€β™‚οΈ
 
Unasema inasemekana, ina maana unatunga, ila hao Hezbollah magaidi wa dini tumeshuhudia matukio yao ya ugaidi.
πŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ
 

Attachments

  • Screenshot_20230301-134613.png
    62.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230301-134652.png
    35.1 KB · Views: 2
. A massive suicide bomber attack on the Marine Corps Barracks in October 1983 wiped away any success the MNF could claim, and led to the eventual withdrawal of American forces in March 1984.

Here are a few surprising, harrowing details about the Beirut Barracks Bombing.

1. The bomb was the largest non-nuclear explosion since World War II.

A truck filled with 12,000 pounds of TNT drove up to the American compound, crashed through the gates and into the Battalion Landing Team Headquarters building, where it exploded. According to the official Defense Department report on the bombing, the building itself was lifted from its foundation by the blast. It then imploded on itself. Those who survived the explosion were crushed or trapped by the rubble.

FBI investigators found the bomb was "gas enhanced," using bottles of oxygen and propane to introduce a gas multiplier effect, giving it more destructive power than a conventional explosive. In the final report, the FBI called it the "largest non-nuclear blast they've ever examined."

2. It was the single deadliest day for the U.S. military since the Tet Offensive.

On the first day of the 1968 Tet Offensive in the Vietnam War, 246 American troops were killed in the surprise attack. The death toll of the 1983 Beirut Barracks bombing would come close to matching that number, killing 220 Marines, 18 sailors and three U.S. soldiers -- 241 troops in all.

3. There were actually two suicide bombing attacks.

At almost the same time as the first truck was driving into the Marines' BLT headquarters, a second truck drove into the French Multinational Force Headquarters building. The destruction of the nine-story building killed 55 paratroopers from the 1st Parachute Chasseur Regiment and three from the 9th Parachute Chasseur Regiment. The French hadn't seen that kind of single-day losses since the end of the Algerian Revolution in 1962.

4. No one knows for certain who was responsible.

The official U.S. government report on the incident concludes the bombing "was a terrorist act sponsored by sovereign states or organized political entities for the purposes of defeating U.S. objectives in Lebanon." It doesn't say which entities are responsible.

A little-known group called Islamic Jihad claimed responsibility, but in a 2001 interview with PBS' "Frontline," former Secretary of Defense Caspar Weinberger reiterated that the U.S. didn't know who really perpetrated the attack.

In a 2003 lawsuit against the Islamic Republic of Iran, the U.S. District Court for the District of Columbia held that the Islamic Jihad was actually a front for Hezbollah, which is a "tool" of the Iranian government. The court held Iran responsible for the attack.

5. The CIA may have attempted revenge for the attack.

In March 1985, a 440-pound car bomb meant to kill Shia cleric Sayyed Mohammad Hussein Fadlallah, a spiritual inspiration for Hezbollah, exploded in Beirut. Fadlallah escaped the blast, but a number of his bodyguards were killed.

The bombing has been linked by writers and reporters to various organizations, including the CIA, CIA-backed militias in Lebanon, the Israeli intelligence agency Mossad and even Saudi Arabia. The truth behind the bombing may never be fully known, as it could have been just an attack from a rival group in the ongoing civil war at the time.
 
Sijaelewa hizi picha za wikipedia unakusudia zitimize nini...
Umesema sina uhakika sababu nimesema, "yasemekana",hizo picha na copy na paste ndo jibu,, πŸ˜‚πŸ˜‚,
Sikujua kumbe uko mzito kuelewa hivi..!! πŸ€”πŸ€”
 
Kuwa serious bana...anyway nitakuelewa maana nyie wale wale...
Bado uko mzito kuelewa soma hiyo paste, inaeleza CIA walitaka kulipiza kisasi kwa hezb,, wakatuma gari limejaa mabomu kumlipua ayotolah wa lebanon, akaponea chupu chupu,
Sasa nikuulize, hicho walichofanya CIA ni ugaidi au siyo ugaidi?,
Lakini miaka mitano nyuma, CIA na mossad waliua kamanda wa hezb, kwa kumtegea car bomb,,
Nachomaanisha, magharibi wana tabia kuwapa bad name maadui zao, for specific reason,
Mfano rahisi ili uelewe vizuri,, Mandela aliitwa gaidi na nchi za kizunguπŸ€·β€β™‚οΈ
.sasa mkongwe kama wewe wa jf, hizi vitu huzijui kweli au unajitoa ufahamu?
 

Wapi taarifa rasmi za hiyo copy paste yako, hata hivyo huyo ayatollah ni gaidi namba moja la kidini, kwanza anaua raia wake kabisa kisa nywele za mwanamke.
 
Umesema sina uhakika sababu nimesema, "yasemekana",hizo picha na copy na paste ndo jibu,, πŸ˜‚πŸ˜‚,
Sikujua kumbe uko mzito kuelewa hivi..!! πŸ€”πŸ€”

Copy paste za wikipedia, nipe taarifa rasmi....
 
Wapi taarifa rasmi za hiyo copy paste yako, hata hivyo huyo ayatollah ni gaidi namba moja la kidini, kwanza anaua raia wake kabisa kisa nywele za mwanamke.
πŸ˜‚πŸ˜‚,Unaona sasa,, wewe uelewa wako uko weak sana,, mi naongelea ayotolah wa lebanon, ambae afterall ni marehemu, wewe unadhani naongelea ayotollah khamein wa iran, kwani huyo ndio mabeberu humshutumu eti analazimisha watu kufaa shungi,,
Uelewa wako ni below 20%,unahitaji improvement, hiyo paste after all in link the kubonyeza for further information, lakini sijui hukuona au hukuelewa,,
Ama kweli, wazazi tusomesheni watoto wetu jamani,, hii ni fedheha kubwa.. πŸ™†β€β™€οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…