Mfadhili mkubwa wa Hezbollah akamatwa

Mfadhili mkubwa wa Hezbollah akamatwa

Huna hoja we zombi,piga kelele tu baada ya kushinda sembe ya Tanzania,papa karuhusu kuchokolewa huko,nyoa tukuchokea

Mtapigwa hadi mtie adabu na mikanzu yenu hehehe
 
Mtapigwa hadi mtie adabu na mikanzu yenu hehehe
Yesu alivaa kanzu na kobazi zake mwenyewe,mitaa ya yerusalem akikatiza na mkewe maria Magdalena,we vaa suti...halafu uone utaishia wapi
 
Yesu alivaa kanzu na kobazi zake mwenyewe,mitaa ya yerusalem akikatiza na mkewe maria Magdalena,we vaa suti...halafu uone utaishia wapi

Nyie mnavaa mikanzu na kulipukia watu mabomu kisa uzombi wa kidini ndio maana mnapigwa
 
S
e mnavaa mikanzu na kulipukia watu mabomu kisa uzombi wa kidini ndio maana mnapigwa
Sisi na yesu na kanzu zetu na kobazi,ukitaja ugaidi ukumbuke IRA na ETA..ndiyo walioanza kabla hata bin laden hajabaleghe,walikua wakipigania ukiristo
 
Mkivaa mikanzu na mindevu yenu bila kutusumbua wala hautasikia tukiwasema, ila ujinga wenu wa kutulipukia lazima mpigwe hehehe
 
Ulikuwepo wakati slobodan Milosevic anadundwa na NATO na marekani!?..ni dini tofauti wale!!?..huko Ukraine na urusi ni waamini wa dini gani!?..kule latin America vipi!!?..ni damu ya upendo hiyo!?
Heeeh! mimi mhenga ndg. Hivyo kila ninachosema inabidi ukikubali maana tayari wahenga wamesema. Unanikumbusha mambo ya Cosovo. Ni hivi, Marekani wanadili na magaidi wa kidini, na serikali za kidikteta nk. Kule Ukraine, hakuna ugaidi wa kidini wewe mbona unalijua hili. Tumshukuru tu.
 
Kwani tukisema marekani hawakumuuwa Osama ina maana yupo yupo hai?? Kufa kwa mtu ni lazima auwawe na marekani??
Si ndo makubaliano kuwa kwanza ilikuwa tuseme yupo hai hajafa mbona hawakutuonesha sura. Baadaye miaka ilivyozidi tukapewa tamko nakumbuka ulikuwa msikiti wa Ijumaa pale Magomeni. Kuwa tuseme alikufa tu mwenyewe natural death. Mi nlihudhuria vikao vyote.
 
Weka ushaidi wa hayo makubaliano. Audio au ya kimaandishi
 
Basi kama Ukraine wanavyo uwana kwa sababu ya kulinda mipaka yao ,basi hata hao wanao jilipua mnao wasema wanajilipua kwa sababu zao wanazo zijua wao na kwa masilahi yao na si kwa sababu wao ni waislam.

Hao mnao sema wanajilipua ukiwahesabu dunia nzima wenda wasifike hata 300,000 wakati duniani kuna zaidi ya waislam kalibu billion 2.

Mbona hujajiuliza kwann waislam wa Malasia, Brunei, Singapore,Indonesia,Saudia, Senegal,Dubai, Qtaar, Zanzibar ,Tz nchi nyingine nyingi hawa jilipui ila wanao jilipua ni waislam wa Afghanistan,Iraq,na Somalia?
Chuki siku zote hupunguza uwezo wa kufikiri.

Hawajiripui ila wanalipua wengine kwa kutegesha mabomu ama kushambulia kwa silaha,hii inategemea na vile huyo muumini kawa brainwashed kwa kiwango gani.
 
Basi kama Ukraine wanavyo uwana kwa sababu ya kulinda mipaka yao ,basi hata hao wanao jilipua mnao wasema wanajilipua kwa sababu zao wanazo zijua wao na kwa masilahi yao na si kwa sababu wao ni waislam.

Hao mnao sema wanajilipua ukiwahesabu dunia nzima wenda wasifike hata 300,000 wakati duniani kuna zaidi ya waislam kalibu billion 2.

Mbona hujajiuliza kwann waislam wa Malasia, Brunei, Singapore,Indonesia,Saudia, Senegal,Dubai, Qtaar, Zanzibar ,Tz nchi nyingine nyingi hawa jilipui ila wanao jilipua ni waislam wa Afghanistan,Iraq,na Somalia?
Chuki siku zote hupunguza uwezo wa kufikiri.
Kwa Tanzania kuna ujinga ulianza tunashukuru Serikali ilichukuwa hatua mapema. Tafrani za akina Ponda zilianza kuchafua hali ya hewa, watalii kumwagiwa tindikali Zanzibar, mapadri kupigwa risasi Zanzibar, matukio ya Amboni Tanga, vituo vya polisi kuvamiwa kwa ajili ya kuiba silaha kama ilivyokuwa kituo cha Sitakishari, ya Kibiti bado tunayakumbuka.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Wachaga kobazi nao(wakiwa na mvaa kobazi mwenzao wa mwanzo yaani yesu)wataendelea kuyumbisha bichwa la marekani,kule Afghanistan katumia matrilioni ya Dola na kaondoka

Aliondoka baada ya maslahi yake kukamilika na kumaliza mision yake,afgan wakaianza kufuga tena magaidi wajiandae na kipigo heavy.
 
Hezbollah ni jeshi, sio magaidi,, west wanawaita magaidi kwa sababu zao,, hilo ni kundi na linaongoza serikali ya lebanoni likishirikiana na chama cha wakristo, wanaoongozwa na Rais Michaeli Auon kama atakua hajastaafu,,
Rais wa lebanoni ni mkristo.
Waziri mkuu ni sunni islamic.
Spika wa bunge ni hezbollah,
Hezbullah wako na wabunge na pia mawaziri,,. Katika lebanon, hezbollah wako karibu na christian part, na kuna mda waliunda coalition wakawa na majority bungeni dhidi ya sunni party,
Hezbollah ilianzishwa 1982 baada ya israel kuivamia lebanon ya kusini na kuikalia,, kama siyo syria kuingiza majeshi lebanon israel wangeishika lebanon yote, kwani kieneo lebanon ni ndogo kwa israel.
Baada ya israel kuikalia lebanon kusini hezbollah iliundwa na kupigana na israel hadi kuwatoa lebanon.
Sass uhasama ndo ulianzia hapo
 
Back
Top Bottom