Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nani kampa mamlaka marekani kuvamia nchi za watu na kupindua serikali? Huu kama siyo ugaidi ni nini? References Libya, Afghanistan Iraq n.kJenga hoja ujibiwe mvaa kobaz
Wewe unashindia nini? au tende.[emoji1787][emoji1787] una hasira huku unashindia uji .utapata tabu sanaa
Anajulikana kama wa kiume humu ila mienendo yake ina walakini fulani.Nilitaka nikuulize kuhusu ujinsia wake.
Tawala za hovyo lazima ziangushwe, halafu pale Libya, Marekani alienda kusaidia wale raia waliokuwa wanauawa na gadafi kule Bengazi. Maana walichoka kutawaliwa kimabavu na mtu mmoja kwa zaidi ya miaka 40. Gadafi aliuawa na watu wake. Marekani alisaidia kwa sehemu. Unajua marekani hapendi uonevu. Kama hutaki, acha.Nani kampa mamlaka marekani kuvamia nchi za watu na kupindua serikali? Huu kama siyo ugaidi ni nini? References Libya, Afghanistan Iraq n.k
Mkuu tuendelee kudai siyo yeye kama tulivyokubaliana. Usikate tamaa ingawa tunajua aliuawa ila sheikh mujungwao alisema tusikubali jambo hillo. Safi sana hujarudi nyuma kutetea.Acha ujinga, ile ilikiwa sinema tu ya kudanganya ulimwengu kuwa wamemkamata Osama.
Marekani kwa kutaka masifa kwanini hawakuonyesha ulimwengu sura ya mtu waliemkamata na kumnadi ni Osama?
PumbaTawala za hovyo lazima ziangushwe, halafu pale Libya, Marekani alienda kusaidia wale raia waliokuwa wanauawa na gadafi kule Bengazi. Maana walichoka kutawaliwa kimabavu na mtu mmoja kwa zaidi ya miaka 40. Gadafi aliuawa na watu wake. Marekani alisaidia kwa sehemu. Unajua marekani hapendi uonevu. Kama hutaki, acha.
Kuamini au kutokuamini inayegemea na uwezo wa akili yako ktk kufikiliMkuu tuendelee kudai siyo yeye kama tulivyokubaliana. Usikate tamaa ingawa tunajua aliuawa ila sheikh mujungwao alisema tusikubali jambo hillo. Safi sana hujarudi nyuma kutetea.
Sisi tuendelee kudai Osama yupo hai kama tulivyoelezwa na sheikh.Kuamini au kutokuamini inayegemea na uwezo wa akili yako ktk kufikili
Kwani tukisema marekani hawakumuuwa Osama ina maana yupo yupo hai?? Kufa kwa mtu ni lazima auwawe na marekani??Sisi tuendelee kudai Osama yupo hai kama tulivyoelezwa na sheikh.
Bin laden alikufa kwa typhoid Kali miaka SITA kabla ya hiyo sinema,hata kwa kutumia hiyo sinema Yao bado unaona hawana lolote bila ya Msaada,mawakala wa idara ya ujasusi ya Pakistan ndiyo waliowasanua,mpaka Leo hatujawahi oneshwa walau picha ya marehemu bin ladenNilitazama documentary ya hamna walivyomchapa yule kiongozi wao Osama, iliwachukua muda sana kuhakiki kweli yuko humo kabla kupiga, walitumia nguvu nyingi sana kubaini, ingekua majitu mengine yangepiga kwanza kisha kubaini kama kweli ni yeye.
Ulikuwepo wakati slobodan Milosevic anadundwa na NATO na marekani!?..ni dini tofauti wale!!?..huko Ukraine na urusi ni waamini wa dini gani!?..kule latin America vipi!!?..ni damu ya upendo hiyo!?Kweli kabisa. Bila Marekani dunia sijui ingekuwaje. Ona kule Yemen wanavyopigana watu wa dini moja. Yaani jamaa hawasomeki wanataka nini. Roho ya mauaji imo ndani yao.
Nani kampa mamlaka marekani kuvamia nchi za watu na kupindua serikali? Huu kama siyo ugaidi ni nini? References Libya, Afghanistan Iraq n.k
Yesu mvaa kobazi nae hakuwa na hoja!?Hoja zipi huwa mnakua nazo wavaa kobaz....
Bin laden alikufa kwa typhoid Kali miaka SITA kabla ya hiyo sinema,hata kwa kutumia hiyo sinema Yao bado unaona hawana lolote bila ya Msaada,mawakala wa idara ya ujasusi ya Pakistan ndiyo waliowasanua,mpaka Leo hatujawahi oneshwa walau picha ya marehemu bin laden
Upolisi wa dunia kapewa na nani!?..na wanaolipua watu nao Wana uwezo wa kulipa,acha walipue tuMaana uwezo huo anao wa kuvamia mataifa yanayofadhili ugaidi wa kidini.....yeye ndiye polisi wa dunia.
Marekani Wana dini yao..ubepari,ndiyo wanayoitumikiaHamnaa mtajiaminisha vitu vya kipuzi lakini hao wauaji wa kidini wanasakwa na kuuawa mmoja mmoja.
Nimekuuliza yesu mvaa kobazi na kanzu naye hakuwa na hoja!?..jibu,Wacha kuhaha Kama malayaHalafu kwanini mohammad alikua anagegeda katoto ka miaka 9