Mfadhili mkubwa wa Hezbollah akamatwa

Mfadhili mkubwa wa Hezbollah akamatwa

Nani kampa mamlaka marekani kuvamia nchi za watu na kupindua serikali? Huu kama siyo ugaidi ni nini? References Libya, Afghanistan Iraq n.k
Tawala za hovyo lazima ziangushwe, halafu pale Libya, Marekani alienda kusaidia wale raia waliokuwa wanauawa na gadafi kule Bengazi. Maana walichoka kutawaliwa kimabavu na mtu mmoja kwa zaidi ya miaka 40. Gadafi aliuawa na watu wake. Marekani alisaidia kwa sehemu. Unajua marekani hapendi uonevu. Kama hutaki, acha.
 
Acha ujinga, ile ilikiwa sinema tu ya kudanganya ulimwengu kuwa wamemkamata Osama.
Marekani kwa kutaka masifa kwanini hawakuonyesha ulimwengu sura ya mtu waliemkamata na kumnadi ni Osama?
Mkuu tuendelee kudai siyo yeye kama tulivyokubaliana. Usikate tamaa ingawa tunajua aliuawa ila sheikh mujungwao alisema tusikubali jambo hillo. Safi sana hujarudi nyuma kutetea.
 
Tawala za hovyo lazima ziangushwe, halafu pale Libya, Marekani alienda kusaidia wale raia waliokuwa wanauawa na gadafi kule Bengazi. Maana walichoka kutawaliwa kimabavu na mtu mmoja kwa zaidi ya miaka 40. Gadafi aliuawa na watu wake. Marekani alisaidia kwa sehemu. Unajua marekani hapendi uonevu. Kama hutaki, acha.
Pumba
 
Nilitazama documentary ya hamna walivyomchapa yule kiongozi wao Osama, iliwachukua muda sana kuhakiki kweli yuko humo kabla kupiga, walitumia nguvu nyingi sana kubaini, ingekua majitu mengine yangepiga kwanza kisha kubaini kama kweli ni yeye.
Bin laden alikufa kwa typhoid Kali miaka SITA kabla ya hiyo sinema,hata kwa kutumia hiyo sinema Yao bado unaona hawana lolote bila ya Msaada,mawakala wa idara ya ujasusi ya Pakistan ndiyo waliowasanua,mpaka Leo hatujawahi oneshwa walau picha ya marehemu bin laden
 
Kweli kabisa. Bila Marekani dunia sijui ingekuwaje. Ona kule Yemen wanavyopigana watu wa dini moja. Yaani jamaa hawasomeki wanataka nini. Roho ya mauaji imo ndani yao.
Ulikuwepo wakati slobodan Milosevic anadundwa na NATO na marekani!?..ni dini tofauti wale!!?..huko Ukraine na urusi ni waamini wa dini gani!?..kule latin America vipi!!?..ni damu ya upendo hiyo!?
 
Nani kampa mamlaka marekani kuvamia nchi za watu na kupindua serikali? Huu kama siyo ugaidi ni nini? References Libya, Afghanistan Iraq n.k

Maana uwezo huo anao wa kuvamia mataifa yanayofadhili ugaidi wa kidini.....yeye ndiye polisi wa dunia.
 
Bin laden alikufa kwa typhoid Kali miaka SITA kabla ya hiyo sinema,hata kwa kutumia hiyo sinema Yao bado unaona hawana lolote bila ya Msaada,mawakala wa idara ya ujasusi ya Pakistan ndiyo waliowasanua,mpaka Leo hatujawahi oneshwa walau picha ya marehemu bin laden

Hamnaa mtajiaminisha vitu vya kipuzi lakini hao wauaji wa kidini wanasakwa na kuuawa mmoja mmoja.
 
Maana uwezo huo anao wa kuvamia mataifa yanayofadhili ugaidi wa kidini.....yeye ndiye polisi wa dunia.
Upolisi wa dunia kapewa na nani!?..na wanaolipua watu nao Wana uwezo wa kulipa,acha walipue tu
 
Upolisi wa dunia kapewa na nani!?..na wanaolipua watu nao Wana uwezo wa kulipa,acha walipue tu

Kajichukulia uwezo huo wa kupiga wavaa makobaz hadi mtie adabu.
 
Back
Top Bottom