Mfahamu Amou Hadji, Binadamu mchafu zaidi Duniani

Mfahamu Amou Hadji, Binadamu mchafu zaidi Duniani

huyo cku akisema atie mwili maji lazma alazwe.mmh!dunia Ina mambo.
 
siku ya kula chakula kizuri ndo siku ya kufa hyo
 
no ni kosa kumsifia huyo babu mchafu.....inawezekana hayuko sawa kiakili
 
Hii habari hapa JF ni ya siku nyingi sana... Na kwa taarifa yako wanachama wawili wa JF walishasafiri mpaka Irani kwenda kumwogesha huyu mzee na siku hizi ni msafi kabisa
 
Back
Top Bottom