Mfahamu Amou Hadji, Binadamu mchafu zaidi Duniani

Mfahamu Amou Hadji, Binadamu mchafu zaidi Duniani

Tulishindanishwa lini yeye akawa mshindi??

Tuseme tu ni mchafu ila sio mchafu zaidi duniani

Hahahaha mkuu unataka iandaliwe mechinini ushindanenae. Nadhani huyu Mzee nikichaa mchafutu kamavichaa wengine.
 
Kwa wale wanaotoka maeneo ya uru mawela, kuna mwenda wazimu m1 anaitwa Masumbuko a k a jitu huyu bwana anaweza kuvunja rekodi ya huyu bwana. Umri wake ni 75-80 Mimi na 40 tangu napata akili jamaa hajawai kuoga...yaani ni sheeeedaah. Mazingira anayoishi ni noumar
 
Mshindi wa Pili Wala Hayuko Mbali
Tunaye Humuhumu JF
Semeni Nimtaje!
Ahsante Jigo
 
Siku ya kuoga yabidi aroekwe kwenye bahari au swimming pool
 
Back
Top Bottom