Mfahamu Amou Hadji, Binadamu mchafu zaidi Duniani

Mfahamu Amou Hadji, Binadamu mchafu zaidi Duniani

Kwa wale wanaotoka maeneo ya uru mawela, kuna mwenda wazimu m1 anaitwa Masumbuko a k a jitu huyu bwana anaweza kuvunja rekodi ya huyu bwana. Umri wake ni 75-80 Mimi na 40 tangu napata akili jamaa hajawai kuoga...yaani ni sheeeedaah. Mazingira anayoishi ni noumar

Yaani ina maana hajawahi hata kunyeshewa na mvua?
 
Ndiyo 'raha' ya kupewa nafasi ya kuekiti ni kichaa ili ufanikishe masuala ya ulinzi na usalama wa nchi yako. Inahitaji uzalendo wa hali ya juu (jokes please!)
 
Sikbaliani na tafiti hii je hao watafiti bongo wamekuja? aisee dar ni kwa watanashati aisee c o cli dar pia kunawachafu walio bobea br alafu wachfu wengi wapo mjni kat
 
Akijisaidia haja kubwa inakuaje?

Kwahiyo haja kubwa zinazobaki zinalimbikizana!

Ha ...
 
Itakuwa bakteria wakikomaa wanageuka antibayotiki, kwa 75 years of age, hata virusi vina aleji nae.

Yaelekea hata hao protozoa, fungi, bacteria na viruses wana limit ya uchafu wanayoweza kuvumilia. Inawezekana hii hiki kiwango cha uchafu wa Mzee Haji ni level nyingine kabisa!
 
The world's most ineligible bachelor: Amou Haji hasn't had a wash for 60 years and smokes animal faeces (but he can whip up a mean decomposed porcupine!)
+ Amou Haji, 80, chose this way of life after some 'emotional setbacks'
+The 80-year-old now lives in a hole near a village in southern Iran
+ He doesn't wash, because he believes being clean will make him sick
+He's single and he's looking for love.

But, to win his heart, you'd have to accept his rather unconventional lifestyle.
Amou Haji has not washed for 60 years, because he believes being clean will make him sick, and his favourite food is rotten porcupine.
To relax he likes to sit down and have a smoke, from a pipe packed with animal faeces.
Mr Haji, 80, says he chose this way of life after going through some emotional setbacks in his youth and since then - perhaps unsurprisingly - he has become a bit isolated.
 
IMG-20210504-WA0017.jpg
Kutana na Amou Hadji binadamu mchafu kuliko wote ambae hajaonga kwa zaidi ya miaka 65. Amou mwenye umri wa miaka 83 anaeleza kuwa sababu ya yeye kutokuoga ni kuwa anaogopa maji na anasema kuwa akioga ataugua.

Amou anaishi jangwani katika kijiji cha Dezhgah, jiji la Farashband nchini Iran. Pamoja na kuwa hapendi kuoga lakini Amou huwa anapunguza nywele zake pamoja na ndevu kwa kuzichoma kwa moto.

Kutokana na uchafu wake ngozi na mavazi yake yamebadilika na kufanana na udongi kiasi kwamba wanakijiji huweza kudhani ni jiwe kama akiwa amelala.
images (16).jpeg

Amou hunywa maji lita tano kwa siku katika vyombo vyake vya bati vyenye kutu na hupendelea kuvuta kinyeshi cha wanyama kilichokauka badala ya tumbaku. Pia chakula anachopendelea kula ni nyama iliyooza ya nungunungu.
950658-740749-amou-haji.jpg

images (15).jpeg

Amou amevunja rekodi ya mwanaume mmoja wa Kihidi aitwaye Kailash Singh ambaye alikaa bila kuoga kwa miaka 38. Mara ya misho mzee Amou kuoga ni mwaka 1954.
 
Sasa alipovunja rekodi alipewa nini kama sio ujinga tu jaman mpaka anasikitisha jinsi alivyo.
 
Back
Top Bottom