Mfahamu Andreas Felipe Ballesteros Uribe Raia wa Colombia aliyekaa Keko mahabusu miaka 8 kwa kesi ya dawa za kulevya

Kuna jamaa yangu miaka ya 90 aliwekwa mahabusu Ruanda. Anakuambia Mbeya Kuna baridi lakini joto la mle ndani Ni over la Dar. Mkilala lazima mpeane taarifa kwamba Sasa tunageukia ubavu wa pili.
Duh
 
Kwa hiyo alikamatwa na madawa au aliuziwa jumba bovu?
Huyu inaonekana alikamatwa na madawa. Sema ndiyo hivyo tena. Kama una hela, unafanya "mazungumzo" na DPP! Mnamalizana kibingwa.

Huu utaratibu wa kufanya "mazungumzo" na DPP usipowekewa vipengele makini vya sheria, basi hiyo ofisi itawatajirisha ma DPP wengi.
 
Sana anadai DPP aliyekuwepo kabla ya huyu mpya ndugu Basala Mangungungu(sio jina halisi) alimpiga hela ndefu.
 
Sasa imagine hadi raia kama wa columbia ambao tunajua ni nchi ya ovyo km kwetu wanalalamika tz ni shida na wanaona bora kwao kuliko tz.

Hapo yupo keko gereza la kishua angepelekwa kilosa huko si ndo angesema yupo jihanam kabisa.

bongo nyoso..
Tazama banged up abroad kule DStv,uone hayo magereza ya Colombia na Latin..huko ndiyo jahannam
 
Vipi kaondoka kajua kiswahili!?
 
Kuna jamaa yangu miaka ya 90 aliwekwa mahabusu Ruanda. Anakuambia Mbeya Kuna baridi lakini joto la mle ndani Ni over la Dar. Mkilala lazima mpeane taarifa kwamba Sasa tunageukia ubavu wa pili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…