Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Kweli hakuna jipya chini ya jua, Kwa jina anaitwa Onani.
Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao.
Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao.
Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa Bwana, basi akamuua yeye naye.
Mwanzo 38:8-10