Mfahamu binadamu wa kwanza kumwaga nje na adhabu aliyopata ni kuuawa baada ya kufanya kitendo hicho

Kama huyo Onan alikuwa hataki nduguye apate uzao kupitia yeye (Onan) kilichomfanya akamwingilie shemeji yake bila kumkojolea ni nini? Si angekataa kumwingilia toka mwanzo? Ok labda hii ingeharakisha kifo chake.

Badala yake akafanya udanganyifu akiamini ya chumbani yatabaki chumbani kumbe yupo aonaye ya humo pia! Yuda alinuaje aliyoyafanya Onan? Aliambiwa na Mungu? Aliambiwa na shemeji? Na aliyemuua Onan ni nani? Kifo cha aina gani alikufa? Natural death, aliuwawa?

Pana mengi ya kujifunza hapa. But the point is, whatever you do, do it properly!
Haya ndio kati ya yale mambo tata yanayohitaji maamuzi magumu duniani. Ukiangalia Onan alikuwa na point kukataa kuzaa na mke wa ndugu yake. Kwasababu aliona watoto wasingechukuliwa kama ni wake ila wa ndugu yake. Ki-uhalisia hata kama ni wewe ni ngumu sana kukubali jambo hili likutokee, inauma sana na hapa Onan alifanya sawa kabisa.

Wakati huo huo Onan alikuwa na wajibu wa kifamilia au wa kiutamaduni kutoka kwa baba yake aitwae Judah, na pia desturi za kabila lake alihitajika kumrithi mke wa kaka yale. Haya mambo yapo bado hapa Tanzania. Sasa Onan angefanya nini kati ya haya mawili?

Amepita katikati. Amelala na shemeji yake kama baba alivyomtaka, na pia amempa shemeji yake timizo la ndoa, manake kitendo cha ndoa sio kwa kuzaa tu bali pia kutimiza haja za asili. Ila pia Onan ametimiza haja ya dhamiri yake ya kuepuka kuzaa watoto ambao hawataonekana kuwa ni wa kwake.

Sasa shida kubwa hata kwangu ni kwamba kwanini BWANA alimuuwa Onan? Hili linahitaji uelewa mkubwa wa huyo BWANA anayezungumziwa hapa nami sitasema juu ya hilo hapa leo. Ila tu inaonekana pengine BWANA alichukizwa na kitendo cha Onan kumwaga nje.

Leo hii kumrithi mke wa kaka yako aliyefariki inaonekana ni ufedhuli mkubwa na jambo hili linakemewa hata na viongozi wa serikali wasiomcha Mungu!

Niseme inahitaji MSAADA WA ROHO MTAKATIFU kumuelewa MUNGU na UKRISTO. Na wengi wanateseka na kuangamia kwa kutokuwa na MAARIFA hayo (Hosea 4:6).
 
Kweli hakuna jipya chini ya jua, Kwa jina anaitwa Onani.

Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao.

Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao.

Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa Bwana, basi akamuua yeye naye.

Mwanzo 38:8-10
Kumwaga nje ni chukizo kwa Mungu
 
Sasa starehe ya bao ipo wapi hapo? yaani nijitume halafu badala ya kumng'ang'ania niskilizie ati nichomoe!
Huyo Onana alikuwa na mtindio wa ubongo.
Onana huyuhuyu golikipa au?
 
Umefafanua vizuri sana! Katika mengi uliyofafanua; nihoji kidogo kuhusu "dhamiri ya Onan".

Dhamiri ya Onan ilikuwa njema au mbaya? Kwamba ilimtuma "uzao huu sio wako"; ni kwa kuwa hakutaka kuleta "chokoraa" duniani? If yes, alifanya jambo jema? Lakini "desturi zao" ziliruhusu huo utaratibu!

Au alikuwa tu na wivu kwamba nduguye (marehemu) angeinuka kuliko yeye kupitia "mbegu" zake? Inatupa funzo gani? Wivu kitu kibaya?

Je, dhamiri (tunaambiwa dhamiri ni sauti ya Mungu ndani yetu) inashinda "agizo la Mungu"? Hilo agizo la Mungu lilimfikiaje Onan? Au maelekezo ya baba yake (Yuda) ndio maagizo ya Mungu?
 
Kama huyo Onan alikuwa hataki nduguye apate uzao kupitia yeye (Onan) kilichomfanya akamwingilie shemeji yake bila kumkojolea ni nini? Si angekataa kumwingilia toka mwanzo? Ok labda hii ingeharakisha kifo chake.

Badala yake akafanya udanganyifu akiamini ya chumbani yatabaki chumbani kumbe yupo aonaye ya humo pia! Yuda alinuaje aliyoyafanya Onan? Aliambiwa na Mungu? Aliambiwa na shemeji? Na aliyemuua Onan ni nani? Kifo cha aina gani alikufa? Natural death, aliuwawa?

Pana mengi ya kujifunza hapa. But the point is, whatever you do, do it properly!
Kila sekunde ubongo unafanya maamuzi. Pengine wazo la kumwaga nje alilipata wakati tayari kashikilia kiuno.
 
Wapiga nyeto wanyongwe
Context ni kumfikisha mwanamke (mkeo) excitement then from nowhere "unamkatisha" au unamwaga kule wakati anahitaji uzao. Thats psychological torture of the highest degree. Kifo kinakuhusu! But in my opinion hili "simulizi" halijakaa sawa!
 
Kila sekunde ubongo unafanya maamuzi. Pengine wazo la kumwaga nje alilipata wakati tayari kashikilia kiuno.
Seems Onan alikusudia kumuumiza shemeji yake kihisia. May be walikuwa na ugomvi siku za nyuma akaamua atumie hiyo nafasi kumwonesha yeye ni nani kupitia hisia za kimapenzi! Hii ni mbaya.
 
Kweli hakuna jipya chini ya jua, Kwa jina anaitwa Onani.

Yuda akamwambia Onani, Uingie kwa mke wa nduguyo, ukamwoe, ukamwinulie nduguyo uzao.

Onani alijua ya kwamba huo uzao hautakuwa wake, ikawa, alipoingia kwa mke wa nduguye, akamwagia chini asimpe nduguye uzao.

Neno hili alilolifanya likawa baya machoni pa Bwana, basi akamuua yeye naye.

Mwanzo 38:8-10
Zoezi jepesi kama hilo linifanye nife??? ningepewa hiyo kazi uzao wa ndugu yangu ungepata watoto 15
 
Sasa starehe ya bao ipo wapi hapo? yaani nijitume halafu badala ya kumng'ang'ania niskilizie ati nichomoe!
Huyo Onana alikuwa na mtindio wa ubongo.
Mimi huwa nachomoa mpaka wanawake ninao kuwa nao huwa wananishangaa nawezaje,nimegundua wanawake wengi hawapend mwanaume achomoe wanapenda wamwagiwe ndani

Afu mimi mwenyew hutokea wanawake kuwachoka haraka,ingawaje kuna baadhi ya siku huwa nataman nipate starehe iliyokamilika huwa naandaa bajeti ya p2 kabisa

Siku hz nimekuja nampango mpya natafuta wanawake wagumba ndo nakula na kumwaga humo humo

Sipendi watoto,
 
Back
Top Bottom