Mfahamu binadamu wa kwanza kumwaga nje na adhabu aliyopata ni kuuawa baada ya kufanya kitendo hicho

Sisi wenye tango wala hatuvimbi..

Ila kutana na kibamia sasa🤣🤣🤣
 
Maswali mazuri. Dhamiri ya Onan ilikuwa njema kabisa kwani aliona sio vyema azae watoto kutoka kiunoni kwake ambao wataonekana kuwa sio wake na yeye hatakuwa baba yao. Hili jambo sijui kama kuna mtu atalipenda.

Kama dhamiri ni sauti ya Mungu mwenyewe basi hilo ndilo agizo la Mungu, kulingana na ulivyosema. Nachojua ni kwamba mtu anahukumiwa kwa dhamiri yake. Watu watatu watafanya kosa lile lile lakini hukumu zao ni tofauti!

Yaonekana maelekezo ya Yuda ndio ya Mungu. Agizo la BWANA lilimfikiaje Onan? Kwa kupitia matakwa ya utamaduni. Wewe leo hii ukiasi jambo la dini yako utaonekana umemwasi Mungu.
 
We ni onani wa kizazi hiki cha AI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…