Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

Nimemchukia kwasababu aliwapinga Waisrael
 
Dah kweli jamaa alikuwa mafia asante kwa stori yake ila nimegundua mitaani kuna wahadithiaji wengi wenye kutia chumvi na matukio mengine ili kunogesha stori
 
Sasa kwani usingequote thread mzima kwani post yako isingoleonekana
 
Bado nitaendelea kuamini kuwa
Osama alikuwa ni CIA
Carlos alikuwa ni KGB

Daah Dunia hii wamepita watu wa aina yake...
Sawa ndugu. Binafsi ninaamini hivyo kuwa hawa jamaa ni uzao wa vita baridi japo Osama ni kama alihasi akawa anadhuru kambi za CIA na USA kwa ujumla lkn Carlos alidhuru wale waliokua na ukaribu na USA. Sikuwahi sikia Carlos amedhuru kambi zilizokua na mahusiano na USSR.
 
Kuna mwenye picha ya huo gaidi mwenza Mohammed Boudia tumwone anavyofanana na Carlos?
 
Duuh! Mie nitakuja kueleza story ya Mtu aliefanikiwa kurusha ndege nne ndani ya Ardhi ya Marekani na kushambulia maeneo mbalimbali ya Marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…