Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

Kiufupi jamaa alitisha enzi zake, hakuacha mbegu pandikizi kweli? Zisije zikatoa surprise kwa dunia..
 
Carlos yupo jela toka zama hizo, Osama ametafutwa miaka na marekani. Carlos na ugaidi wake hajawahi kuwa no.1 kwenye list ya most wanted ya marekani. Msimchukulie poa Osama japo kadedishwa
Mdau kuhusu kufanya matukio na kutafutwa na serikali kwa muda mrefu sio ajabu. Kuna kiumbe alikua akiitwa Dzhokhar Dudayev alikua kiongozi wa Chechnya, huyu alisakwa na serikali ya Moscow kwa muda mrefu sana.
 
Kama hakuwapiga wababe wa dunia Marekani hana lolote.
 
Tehetehee tehetehee! Nimekumbuka miaka ya 80_90 tukiwa Shule tulitumia sana majina ya Jacle na Escobar Pablo, tuliwachukia sana wazungu tukiwaita Mabeberu na makaburu.

Kuwese miaka hiyo ya 80s tulikuwa Na kambi nyingi za ukombozi sehemu za kusini.
Msumbiji ilipata uhuru Mwaka 1975,Zimbabwe 80,Angola Halafu RSA.Mwalimu alikuwa akiwasema sana Mabeberu Na Makaburu.
Tulifilisika Kwa kuwakombowa ndungu zetu wa kusini.
 
Mkuu, you have done my day, Hakuna gaidi atakayekuja kumzidi Carlos.
jamaa alikuwa ni hatari ile mbaya, Nataka nije niwaombe serikali ya France endapo wataniruhusu niende France nikafanye naye mahojiano na kisha nitoe kitabu kuhusu ugaidi wake na maisha yake kabla hajafa
Huna hadhi ya kuongea na serikali ya France/Francois Hollande. au unadhani ufaransa ni kama serikali ya mtaani kwenu???
 
ANAYEPENDA HIZO STORI ATAFUTE KITABU KINAITWA "IJUE HISTORIA NA MAISHA YA WABABE WA DUNIA" TOLEO LA KWANZA KIMEANDIKWA NA MBONGO ANAITWA ZUBAGY AKILIMIA
 
PIA KUNA TOLEO LA PILI HILO LA KWANZA LINAWAONGELEA WATU KAMA
1:CARLOS THE JACKAL(aliyeelezwa hapo juu)
2:FIDEL CASTRO
3:BARACK OBAMA
4:GEORGE .W. BUSH
5:ADOLF HITLER
6:ROBERT MUGABE
7:MUAMAR GHADAFI
8:OSAMA BIN LADEN

NA TOLEO LA PILI INGAWA SIJALOSOMA ILA LINAONGELEA WATU KAMA
1:YESSER ARAFAT
2:IDDI AMIN DADA
3:MICHAEL SAVIMBI
4:CHE GUEVARA
5:HUGO CHAVES

NA WENGINEO WENGI
 
Zamani tulikua tukiongopeana Shule eti Carlos aliwahi kukamatwa ila kwa vile walikua hawamjui vizuri wakamuuliza "Wewe ndio Carlos?" Akawajibu "Nikitoroka jela mimi ndio Carlos ila nisipotoroka basi mimi sio Carlos,

Eti ilipofika asubuhi hawakumkuta kwani alikua kisha toroka!!
 
Kuna story mtaani kuwa aliwahi ingia kwa malkia eliza, akala vyombo kisha akatokomea kupitia tundu la choo,, maana alimkuta malkia yuko bafuni anaoga. Hii ilikuwa ni kweli au chai tu?
hou ni uzushi, kuna uzushi mwingi tu umezuliwa juu ya huyo jamaa
 
Kwa esabu ya haraka tu...Carlos aliendeshwa kama remote na Russia, vyote alivyofanya na mipango yake yote iliendeshwa kwa kiasi kikubwa na KGB
 
kwa hiyo na wewe unajifunza UGAIDI.
unajua vizuri maana ya ROLE MODEL
kukurupuka huku mwisho wa siku unajidhalilisha jombaa hivi unajua kiengereza wewe..?kumbe mpo wengi humu mapopoma nimesema by then he WAS...
 
kukurupuka huku mwisho wa siku unajidhalilisha jombaa hivi unajua kiengereza wewe..?kumbe mpo wengi humu mapopoma nimesema by then he WAS...
KWA HIYO SASA HIVI SIO. Ina maana huko nyuma ulipokuwa mwanafunzi "HE WAS" kwa sasa ni yupi role model wako?
 
Back
Top Bottom