Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi dini ndugu yangu zina mambo mengi sana na ukizifuatilia sana unaweza kuja changanyikiwa. Umeshawahi kujiuliza kwanini wamarekani weusi wengi hubadili dini na kuwa waislamu wakati walizaliwa na kukulia katika ukristo? Ulishawahi kujiuliza kwanini mzee Fidel Castro haamini katika dini?Kwa maoni yangu aliharibu pale akipoamua kubadili dini
Ndo yule wa kwenye novel ya "The Day of the Jackal"?
yuko jela ufaransaWakuu bado yupo hela au dead.
Kuna mwenye picha ya huo gaidi mwenza Mohammed Boudia tumwone anavyofanana na Carlos?
Alitalikiana Na mke wake mwaka 1997 akiwa Gerezani French, ila mwaka 2001 alimuoa Mwanamke mwingine akiwa Gerezani ambaye alikua ni Lawyer wake!Katika maisha yake huyu jamaa alifanikiwa kupata watoto wangapi? Wako wapi? Kama wapo kuna hata mmoja amejaribu kufuata harakati za baba yao?
Kuna utofauti gani kati ya Gaidi Carlos na magaidi wengine wa sasa ivi! maana naona historia inajionyesha kuwa Carlos aliungwa mkono na baadhi ya mataifa makubwa hadi mtu mmojammoja kama vile mimi mwenyewe,
Yuko wapi mke wake baada ya kukamatwa na milipuko,
Mwisho, vip umri na muonekano wake wa sasa ivi ukoje uko gerezani?
Chai tu hii.Kuna story mtaani kuwa aliwahi ingia kwa malkia eliza, akala vyombo kisha akatokomea kupitia tundu la choo,, maana alimkuta malkia yuko bafuni anaoga. Hii ilikuwa ni kweli au chai tu?
-Alifanikiwa kuzaa watoto wawili wa kike, 1. Elba Rosa Ramirez 2. Sonia Marine OriolaKatika maisha yake huyu jamaa alifanikiwa kupata watoto wangapi? Wako wapi? Kama wapo kuna hata mmoja amejaribu kufuata harakati za baba yao?
Kuna utofauti gani kati ya Gaidi Carlos na magaidi wengine wa sasa ivi! maana naona historia inajionyesha kuwa Carlos aliungwa mkono na baadhi ya mataifa makubwa hadi mtu mmojammoja kama vile mimi mwenyewe,
Yuko wapi mke wake baada ya kukamatwa na milipuko,
Mwisho, vip umri na muonekano wake wa sasa ivi ukoje uko gerezani?
Hawa wote nilishawasikia kasoro MICHAEL SAVIMBI.PIA KUNA TOLEO LA PILI HILO LA KWANZA LINAWAONGELEA WATU KAMA
1:CARLOS THE JACKAL(aliyeelezwa hapo juu)
2:FIDEL CASTRO
3:BARACK OBAMA
4:GEORGE .W. BUSH
5:ADOLF HITLER
6:ROBERT MUGABE
7:MUAMAR GHADAFI
8:OSAMA BIN LADEN
NA TOLEO LA PILI INGAWA SIJALOSOMA ILA LINAONGELEA WATU KAMA
1:YESSER ARAFAT
2:IDDI AMIN DADA
3:MICHAEL SAVIMBI
4:CHE GUEVARA
5:HUGO CHAVES
NA WENGINEO WENGI
Gaidi ni Nani?At first alikuwa Mwanamapinduzi kama Che Guevara but later akawa anatumika na hayo mataifa kufanya Ugaidi na Mauaji so hapo ndio akaitwa Gaidi
Itakuwa Jonas savimbi mwandishi amekosea kiduchu.Hawa wote nilishawasikia kasoro MICHAEL SAVIMBI.
Story tu mkuuKuna story wakati nakuwa niliisikia kwenye vibanda umiza,eti huyu bwana Carlos alishawahi kuingia kwa Queen wa UK,wakati anatoka ndiyo wakajua alikuwa ni yeye??Ni kweli?
Nadhani kwanza tupate maana halisi ya neno Gaidi. Ninachofahamu mimi kwa USA CIA ni shirika la upepelezi lkn kwa RUSSIA CIA ni magaidi, pia ndivyo ilivyo kwa USA huiona KGB kama magaidi lkn KGB kwa RUSSIA ni wapelelezi. Ndivyo ilikuwa kwa Carlos kwa Russia na washirika wake walimuona kama mtu mtiifu lkn kwa USA alionekana kama Gaidi.
Ndo yule wa kwenye novel ya "The Day of the Jackal"?