Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

Katika maisha yake huyu jamaa alifanikiwa kupata watoto wangapi? Wako wapi? Kama wapo kuna hata mmoja amejaribu kufuata harakati za baba yao?
Kuna utofauti gani kati ya Gaidi Carlos na magaidi wengine wa sasa ivi! maana naona historia inajionyesha kuwa Carlos aliungwa mkono na baadhi ya mataifa makubwa hadi mtu mmojammoja kama vile mimi mwenyewe,
Yuko wapi mke wake baada ya kukamatwa na milipuko,
Mwisho, vip umri na muonekano wake wa sasa ivi ukoje uko gerezani?
 
PIA KUNA TOLEO LA PILI HILO LA KWANZA LINAWAONGELEA WATU KAMA
1:CARLOS THE JACKAL(aliyeelezwa hapo juu)
2:FIDEL CASTRO
3:BARACK OBAMA
4:GEORGE .W. BUSH
5:ADOLF HITLER
6:ROBERT MUGABE
7:MUAMAR GHADAFI
8:OSAMA BIN LADEN

NA TOLEO LA PILI INGAWA SIJALOSOMA ILA LINAONGELEA WATU KAMA
1:YESSER ARAFAT
2:IDDI AMIN DADA
3:MICHAEL SAVIMBI
4:CHE GUEVARA
5:HUGO CHAVES

NA WENGINEO WENGI
Samahani naomba kuuliza hivi ni Michael Savimbi au Jonas Savimbi?
 
Zamani tulikua tukiongopeana Shule eti Carlos aliwahi kukamatwa ila kwa vile walikua hawamjui vizuri wakamuuliza "Wewe ndio Carlos?" Akawajibu "Nikitoroka jela mimi ndio Carlos ila nisipotoroka basi mimi sio Carlos,

Eti ilipofika asubuhi hawakumkuta kwani alikua kisha toroka!!
Chai tupu
 
Katika maisha yake huyu jamaa alifanikiwa kupata watoto wangapi? Wako wapi? Kama wapo kuna hata mmoja amejaribu kufuata harakati za baba yao?
Kuna utofauti gani kati ya Gaidi Carlos na magaidi wengine wa sasa ivi! maana naona historia inajionyesha kuwa Carlos aliungwa mkono na baadhi ya mataifa makubwa hadi mtu mmojammoja kama vile mimi mwenyewe,
Yuko wapi mke wake baada ya kukamatwa na milipuko,
Mwisho, vip umri na muonekano wake wa sasa ivi ukoje uko gerezani?
Mh! Hivi Carlos alikamatwa na milipuko???!!!
 
At first alikuwa Mwanamapinduzi kama Che Guevara but later akawa anatumika na hayo mataifa kufanya Ugaidi na Mauaji so hapo ndio akaitwa Gaidi
Nadhani kwanza tupate maana halisi ya neno Gaidi. Ninachofahamu mimi kwa USA CIA ni shirika la upepelezi lkn kwa RUSSIA CIA ni magaidi, pia ndivyo ilivyo kwa USA huiona KGB kama magaidi lkn KGB kwa RUSSIA ni wapelelezi. Ndivyo ilikuwa kwa Carlos kwa Russia na washirika wake walimuona kama mtu mtiifu lkn kwa USA alionekana kama Gaidi.
 
Katika maisha yake huyu jamaa alifanikiwa kupata watoto wangapi? Wako wapi? Kama wapo kuna hata mmoja amejaribu kufuata harakati za baba yao?
Kuna utofauti gani kati ya Gaidi Carlos na magaidi wengine wa sasa ivi! maana naona historia inajionyesha kuwa Carlos aliungwa mkono na baadhi ya mataifa makubwa hadi mtu mmojammoja kama vile mimi mwenyewe,
Yuko wapi mke wake baada ya kukamatwa na milipuko,
Mwisho, vip umri na muonekano wake wa sasa ivi ukoje uko gerezani?
Kila zama na kitabu chake, zama za Carlos zilikuwa za vita baridi ukiwa against na nchi za magharibi basi utapata sapoti ya Urusi. Lakini Osama alitumia gia ya waislamu ushuzi kutimiza agenda zake.
 
Back
Top Bottom