Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

Mfahamu Carlos the Jackal: Gaidi tishio zaidi kuwahi kutokea duniani

Na yule aliyekimbia huko Tz,kesi ya mauaji ni nani,maana nasikia naye ni Carlos.
 
Kuna story mtaani kuwa aliwahi ingia kwa malkia eliza, akala vyombo kisha akatokomea kupitia tundu la choo,, maana alimkuta malkia yuko bafuni anaoga. Hii ilikuwa ni kweli au chai tu?
Hahahaaaa..mkuu chai hilo!
 
Osama kafanya tukio september 11 2001 na mpaka leo amekwisha uawa,wakati Carlos alianza kufanya umafia toka miaka ya 70 na mpaka leo yupo..judge for yourself
Carlos yupo jela toka zama hizo, Osama ametafutwa miaka na marekani. Carlos na ugaidi wake hajawahi kuwa no.1 kwenye list ya most wanted ya marekani. Msimchukulie poa Osama japo kadedishwa
 
Carlos yupo jela toka zama hizo, Osama ametafutwa miaka na marekani. Carlos na ugaidi wake hajawahi kuwa no.1 kwenye list ya most wanted ya marekani. Msimchukulie poa Osama japo kadedishwa
Niambie tukio moja Osama alienda front akateka watu na ndege, au akarusha bomu kwa mkono wake..au akamshuti jasusi yoyote na kumuua
 
Nlisoma makala zake kupitia magazeti ya Alasiri daah
 
Hilo swali alilijibu Mandela..alisema yeye mwenyewe aliitwa gaidi na wakaburu lakini wananchi wake walimuita mkombozi wao...
Majasusi wa nchi nyingi duniani hufanya hayo au hata kuzidi, nafikiri tubadili hicho "kivumishi" cha gaidi labda tuseme mwanaharakati mzaliwa nchi moja Hugo Chavez....
 
Duuh! Mie nitakuja kueleza story ya Mtu aliefanikiwa kurusha ndege nne ndani ya Ardhi ya Marekani na kushambulia maeneo mbalimbali ya Marekani
Lkn mtu huyu hakua Osama bali mtumwa tu wa Osama. Hii ndio tofauti kubwa kati ya Osama na Carlos, Osama alitumia hela kulaghai masikini kujitoa mhanga lkn Carlos alitekeleza matukio yake kwa mkono wake mwenyewe.
 
carlos mwenyewe ndio mimi teh teh teh...
Tehetehee tehetehee! Nimekumbuka miaka ya 80_90 tukiwa Shule tulitumia sana majina ya Jacle na Escobar Pablo, tuliwachukia sana wazungu tukiwaita Mabeberu na makaburu.
 
Osama kafanya tukio september 11 2001 na mpaka leo amekwisha uawa,wakati Carlos alianza kufanya umafia toka miaka ya 70 na mpaka leo yupo..judge for yourself
Carlos katekeleza harakati zake dhidi ya mataifa mbali mbali kwa muda mrefu. Hata siku alipokamatwa ilisemwa kilichomponza ni kupenda kwake starehe lkn isingekuwa hivyo jamaa angesumbua zaidi.
 
Back
Top Bottom