Mfahamu Charles Martel, aliyeokoa bara Uropa kutoka kwa mapanga ya waislamu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Isingekua kwa huyu mwamba wazungu wangesilimishwa kwa mapanga, leo bara Uropa lingekua la hovyo limevurugwa kama ilivyo Mashariki ya kati na maeneo mengine yenye hii dini.
Hii ilikua enzi ambapo uislamu ulikua unaenezwa kwa mapanga na walijaribu kushambulia Uzunguni ila wakakuta pagumu.

Huwa hainingii akili kwanini iwe kwamba baada ya Yesu, Mungu alete dini nyingine inayokwenda kinyume na kila kitu kilichofundishwa na Yesu, ikumbukwe Mohammad alisababisha mauaji ya Wayahudi wa Banu Qurayza, ambapo aliagiza watoto wa kiume wachinjwe bila huruma.

Huu uchinjaji unaendelea hadi leo, leo hii kwenye utandawazi na elimu yote hii unamchinja mtu kisa 'mungu' ambaye hauna namna ya kuthibitisha uwepo wake....

Afrika hapa ndio usipime, mara Msumbiji, mara Somalia, Sudan, Chad, Nigeria kote huko uchinjaji tu, naona hata DRC wameingia na kuchinja wanavijiji, bora hata waasi wengine kama M23 wanapigana kupora madini, ila hawa magaidi wa waislamu ADF wao wanachinja tu hawaelewekki shida yao nini.
=================================

At the Battle of ToursOffsite Link (also called the Battle of Poitiers), fought in 732 in an area between the cities of PoitiersOffsite Link and ToursOffsite Link, in north-central France, near the village of Moussais-la-BatailleOffsite Link (Vouneuil-sur-Vienne), about 20 km northeast of Poitiers, the Frankish king Charles MartelOffsite Link ("Charles the Hammer") decisively stopped the Muslim army's advance into Northern Europe.

"The Battle of ToursOffsite Link earned Charles the cognomenOffsite Link "Martel" ('Hammer'), for the merciless way he hammered his enemies. Many historians, including the great military historian Sir Edward CreasyOffsite Link, believe that had he failed at Tours, Islam would probably have overrun GaulOffsite Link, and perhaps the remainder of western Christian Europe. GibbonOffsite Link made clear his belief that the Umayyad armies would have conquered from Rome to the Rhine, and even England, having the English Channel for protection, with ease, had Martel not prevailed. Creasy said "the great victory won by Charles Martel ... gave a decisive check to the career of Arab conquest in Western Europe, rescued Christendom from Islam, [and] preserved the relics of ancient and the germs of modern civilization." Gibbon's belief that the fate of Christianity hinged on this battle is echoed by other historians including John B. BuryOffsite Link, and was very popular for most of modern historiography.

It fell somewhat out of style in the twentieth century, when historians such as Bernard Lewis contended that Arabs had little intention of occupying northern France. More recently, however, many historians have tended once again to view the Battle of Tours as a very significant event in the history of Europe and Christianity. Equally, many, such as William Watson, still believe this battle was one of macrohistorical world-changing importance, if they do not go so far as Gibbon does rhetorically" (Wikipedia article on Battle of Tours, accessed 12-14-2008).
 
Ww kafili mpotoshaji
 
Poa sheikh ila msilazimishe kila mtu kama namna huwa mnafanya kwa Zanzibar. Sio kila mtu anaamini kwenye hayo mambo yenu.
angalau hapa umekiri kwamba ishu ni ramadhani na siyo hizo ngonyera zingine.
 
Nimezaliwa katika ukoo unaoamini katika uislamu .. nikaja kutafakari unyama na mafundisho potofu (false doctrine) ya dini ya kiislamu.. nikampokea Yesu na kuukimbia upumbavu huo..
 
Watoto gani wanachinjwa na waslam chief kama huna cha kuandika bora usiandike kuliko kuchafua dini za watu tena wapo kwenye funga

Soma mauaji ya watoto wa Wayahudi wa Qurayza yaliyofanyika kwa maagizo ya mtume wenu, ukatili, watoto wa kiume wote walichinjwa, mabinti wakatekwa mateka na kuuzwa.
 
Dini zote ziliwahi ua isipokuwa Yesu Kristo anaponya ila muhammad alitumia upanga kuua pia na majini yake aliroga. Kwa ufupi uislamu ni dini ya shetani ispokuwa baadhi ya waumini wanamuambudu Mungu wa kweli
 
Hizi mambo tuziache tu chukua yanayokufaa maishani mengine waachie wengine.
Hata Mungu wetu Yehova nae aliwaagiza Wayahudi wawachinje wapalestina na watu wa mataifa yote waliyokutana nayo wakitokea utumwani.
So Wayahudi kuuliwa ni wanalipa karma.
Hizi doctrine za dini unapewa tu unachoweza mudu kwa ufahamu wako tu
 
Poa sheikh ila msilazimishe kila mtu kama namna huwa mnafanya kwa Zanzibar. Sio kila mtu anaamini kwenye hayo mambo yenu.
angalau hapa umekiri kwamba ishu ni ramadhani na siyo hizo ngonyera zingine.
 
angalau hapa umekiri kwamba ishu ni ramadhani na siyo hizo ngonyera zingine.

Fungua uzi wa kujadili vya ramadhani, hapa tunajadili namna bara Uropa lilijilinda kutokana na mapanga yenu, hayo mapanga mnatembeza hadi leo.
 
Hizi mambo tuziache tu chukua yanayokufaa maishani mengine waachie wengine.
Hata Mungu wetu Yehova nae aliwaagiza Wayahudi wawachinje wapalestina na watu wa mataifa yote waliyokutana nayo wakitokea utumwani.
So Wayahudi kuuliwa ni wanalipa karma.
Hizi doctrine za dini unapewa tu unachoweza mudu kwa ufahamu wako tu

Kwa hiyo nikiamua kufuata ushauri wako wa kuchukua kinachonifaa, swali langu kwako, kwenye elimu ya leo ya sayari na sayansi na utandawazi, kuna bado mnachinja watu kisa huyo 'mungu' ambaye hamuwezi kuthibitisha uwepo wake.

Mnatembeza mapanga na mabomu ya kujilipua yote hii kisa kitabu kilichoandikwa miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, na aliacha maagizo tupende jirani zetu kama tunavyojipenda, iweje tuletewe mtume mwingine aje ahubiri mauaji kila sehemu.
 
Dini zote ziliwahi ua isipokuwa Yesu Kristo anaponya ila muhammad alitumia upanga kuua pia na majini yake aliroga. Kwa ufupi uislamu ni dini ya shetani ispokuwa baadhi ya waumini wanamuambudu Mungu wa kweli
Lete ushahidi wa ulichosema otherwise ni pumba tu!!!
 
Kwa hiyo nikiamua kufuata ushauri wako wa kuchukua kinachonifaa, swali langu kwako, kwenye elimu ya leo ya sayari na sayansi na utandawazi, kuna bado mnachinja watu kisa huyo 'mungu' ambaye hamuwezi kuthibitisha uwepo wake.

Mnatembeza mapanga na mabomu ya kujilipua yote hii kisa kitabu kilichoandikwa miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, na aliacha maagizo tupende jirani zetu kama tunavyojipenda, iweje tuletewe mtume mwingine aje ahubiri mauaji kila sehemu.
Hao wanaochija watu hawapo katika dini hakuna dini iwe uislam au Ukristo inayotoa oda uue watu.
Tofauti gaidi na dini.
Ugaidi sio dini ni itikadi.
Hayo makundi ya magaidi si waislamu Wala si wakristo ni wahuni tu watafutao maslai ya kidunia.
 
Soma mauaji ya watoto wa Wayahudi wa Qurayza yaliyofanyika kwa maagizo ya mtume wenu, ukatili, watoto wa kiume wote walichinjwa, mabinti wakatekwa mateka na kuuzwa.
Wao walivunja mkataba wa amani dhidi ya waislam wa Madina ndio maana Mtume akaamua kuwaadhibu kwa mujibu wa taurat yao wanayoiamini
 
Dini zote ziliwahi ua isipokuwa Yesu Kristo anaponya ila muhammad alitumia upanga kuua pia na majini yake aliroga. Kwa ufupi uislamu ni dini ya shetani ispokuwa baadhi ya waumini wanamuambudu Mungu wa kweli

'mungu' wa kwenye Quran sio wa kwenye Biblia, hivyo huyo wanayemuabudu ni tofauti, maana haiwezekani wa qurani aje kuleta kitabu kinachoenda kinyume na vitabu vyote kabla yake, kuanzia jinsi dunia ilivyoumbwa na matukio yote baada ya hapo hayaendani baina ya hivyo vitabu viwili, japo kuna matukio machache qurani imetaja kama yalivyotajwa kwenye Biblia, lakini mengi hayaendani.
Kuna muislamu alikua anajinasibu kwamba Qurani inaendana na sayansi, huo ni ujuha maana Sayansi na dini haziendani hata kidogo, ukiamua sayansi nenda nayo, ukiamua dini vile vile nenda nayo, lakini usiongope eti zinaendana, soma sayansi kuanzia Bing bang theory utaona hamna dini inayoendana.
 
Hao wanaochija watu hawapo katika dini hakuna dini iwe uislam au Ukristo inayotoa oda uue watu.
Tofauti gaidi na dini.
Ugaidi sio dini ni itikadi.
Hayo makundi ya magaidi si waislamu Wala si wakristo ni wahuni tu watafutao maslai ya kidunia.

Kabla ya Yesu kuondoka, alihubiri kwamba tupende majirani zetu kama tunavyojipenda, kwamba baada yake haikupaswa mtu yeyote kuuawa kisa dini, sasa iweje miaka 500 baadaye aje mtume mwingine asababishe matukio ya mauaji yakiwemo kuchinja, soma mauaji ya watoto wa Wayahudi kwa maagizo ya mtume kule Banu Qurayza, mara nyingi mkihojiwa hili huwa mnakimbilia matukio ya agano la kale kwenye Biblia, sasa jikite kwenye baada ya Yesu.

Leo hii ningeamini matukio ya wauaji wanaojiita waislamu kuwa ya wahuni wachache kama yangetokea sehemu chache, ila ni kinyume, ni maeneo machache yenye hiyo dini yana utulivu, na huko kwenye utulivu ni kisa tu watu wanaishi kwa kulazimishiwa hiyo dini, hawana uhuru wa kuamua waishi vipi.
 
Wao walivunja mkataba wa amani dhidi ya waislam wa Madina ndio maana Mtume akaamua kuwaadhibu kwa mujibu wa taurat yao wanayoiamini

Angewaadhidu kwa kutumia qurani kama kweli inahubiri amani na upendo, na kama kweli alikua mtume wa Mungu, ila yeye alichinja watoto kiume, hao watoto wa kiume walihusiana vipi na huo mkataba, aliuza mabinti zao utumwani, hao mabinti walihusiana vipi na huo mkataba.
 
Back
Top Bottom