The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 1,497
- 2,681
Mbona Pana manabii na mitume wanawaibia watu masikini kinyume na mafundisho ya Yesu na wanajiita ni Wakristo je yapo kwenye maandiko.Kabla ya Yesu kuondoka, alihubiri kwamba tupende majirani zetu kama tunavyojipenda, kwamba baada yake haikupaswa mtu yeyote kuuawa kisa dini, sasa iweje miaka 500 baadaye aje mtume mwingine asababishe matukio ya mauaji yakiwemo kuchinja, soma mauaji ya watoto wa Wayahudi kwa maagizo ya mtume kule Banu Qurayza, mara nyingi mkihojiwa hili huwa mnakimbilia matukio ya agano la kale kwenye Biblia, sasa jikite kwenye baada ya Yesu.
Leo hii ningeamini matukio ya wauaji wanaojiita waislamu kuwa ya wahuni wachache kama yangetokea sehemu chache, ila ni kinyume, ni maeneo machache yenye hiyo dini yana utulivu, na huko kwenye utulivu ni kisa tu watu wanaishi kwa kulazimishiwa hiyo dini, hawana uhuru wa kuamua waishi vipi.
Ni jukumu lako kujua pumba na mchele