Mfahamu Dimitri Polyakov, MOLE wa CIA ndani ya KGB aliyechomeshwa na Afisa wa CIA Aldrich Ames

Msanuaji alimsanua msanuaji naye akasanuliwa.
 
Kama kuna mtu aliyeangalia hiyo video footage ya polyakov akiwekwa chini ya ulinzi kwenye comment namba 17.. kuna kitu atagundua aina ya ukamataji huo sio wa kawaida... anakabwa shingoni je unajua sababu ni nini?😎😎🀭🀭
 
Sababu ni nini? Au alikuwa mkali wa martial arts na hand to hand combat?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…