Exactly pesa hakuiweka mbele km wenzake... kama huyo Ames ndio alizingua pakubwa. Jamaa alikuwa anakula bata na demu wake Rosario .. imagine alikuwa na uwezo wa kwenda vacations kwenye fukwe za huko mexico au kwenda kufanya manunuzi ya suti na saa za rolex za gharama "shopping spree" huko roma italia yeye na bibiye .. Ai wenzake wakaona huyu mwanetu pesa yote hii anaipata wapi ilihali hata maboss wake walikuwa hawana hiyo jeuri ya pesa.. hata maafisa wenzake ikiwemo mwanamama Sandy grimes walimtilia mashaka na walifanya juu chini hadi wakamnasa na ushahidi usio na shaka.... kwa mfano hata Huyu ames mpenzi wake Rosario alianza kuingiwa na wasiwasi sana kuhusu chanzo cha pesa za mumewe ila ndio hivyo as long as alikuwa anapata mahitaji yake hakujali sana....ndio maana huyu bibiye alipigwa mvua isiozidi miaka mitano jela ila mumewe ndio hadi afie jela.