Poa mkuu....Usiwaze mdau nimeuzingatia ushauri wako...nitaufanyia kazi...Huyo pilot uliyemtaja hapo sio Francis powers ni Gary powers
Yote majina yake.....
Poa mkuu....Usiwaze mdau nimeuzingatia ushauri wako...nitaufanyia kazi...Huyo pilot uliyemtaja hapo sio Francis powers ni Gary powers
Tumsamehe na kumpuuza tu.Dogo tapeli yule
Siyo atachukua ni ameshachukua tayari.Unamaanisha na hii inaweza kuchukuliwa nae?🤣🤣
Kuna mahali nimeelezea hapo juu huyo Dimitri Polyakov alipofika tu pale alipoitwa aliwekwa chini ya ulinzi mara hiyo hiyo. Footage yake hii hapa .
View: https://youtu.be/w0-1ogBb6kg?si=Fi_DX4o63nIvxeHE
Ngoja kitabu kipya kitoke ndo utakumbuka maneno yangu.Acha kumsingizia 🤣
Aliiba na anaendelea kuiba.Unataka kunambia na u master wake wote, na hadi matuzo ya afrika anaiba baadhi ya nyuzi humu jf?
Dah it seems toka anapewa wito tayari alikuwa kwenye surveillance kwahiyo chochote ambacho angefanya kilikuwa ni kuharakisha tu hatma yake ryt?🤭🤭 uchezwe na machale kwenye 18 za KGb? Kuna muda machale yako hayasaidii na wala hayakuokoi na Kifo
Upo sahihi. Mwenzake Oleg Gordievsky yeye alifanikiwa kutoroka tena kwa BAHATI.nadhani kisa chake umekisoma humu nilichokiwekaDah it seems toka anapewa wito tayari alikuwa kwenye surveillance kwahiyo chochote ambacho angefanya kilikuwa ni kuharakisha tu hatma yake ryt?
Hii tabia ya wizi wa threads unanikera sana mkuu, inabidi tuanze na bwana Nyerere then wangine wataogopa kuiba.Nitalifanyia kazi hili nijue.. mimi nachofahamu kuna content creators wa twitter huko ndio huwa wanaiba thread humu na kuzipeleka mle
Kabisa mkuu nimekisoma vizuri jamaa aliponea Tundu la sindano kweli kweli na kilichombeba nadhani pia ni pamoja na kujipanga vizuri kwenye UJASUSI wake kwa maana alivujisha siri lakini kwa umakini mkubwa na pia third party pia kumlinda vizuri ili asijulikane na kila mtu ilisaidia sana.Upo sahihi. Mwenzake Oleg Gordievsky yeye alifanikiwa kutoroka tena kwa BAHATI.nadhani kisa chake umekisoma humu nilichokiweka
Exactly pesa hakuiweka mbele km wenzake... kama huyo Ames ndio alizingua pakubwa. Jamaa alikuwa anakula bata na demu wake Rosario .. imagine alikuwa na uwezo wa kwenda vacations kwenye fukwe za huko mexico au kwenda kufanya manunuzi ya suti na saa za rolex za gharama "shopping spree" huko roma italia yeye na bibiye .. Ai wenzake wakaona huyu mwanetu pesa yote hii anaipata wapi ilihali hata maboss wake walikuwa hawana hiyo jeuri ya pesa.. hata maafisa wenzake ikiwemo mwanamama Sandy grimes walimtilia mashaka na walifanya juu chini hadi wakamnasa na ushahidi usio na shaka.... kwa mfano hata Huyu ames mpenzi wake Rosario alianza kuingiwa na wasiwasi sana kuhusu chanzo cha pesa za mumewe ila ndio hivyo as long as alikuwa anapata mahitaji yake hakujali sana....ndio maana huyu bibiye alipigwa mvua isiozidi miaka mitano jela ila mumewe ndio hadi afie jela.Kabisa mkuu nimekisoma vizuri jamaa aliponea Tundu la sindano kweli kweli na kilichombeba nadhani pia ni pamoja na kujipanga vizuri kwenye UJASUSI wake kwa maana alivujisha siri lakini kwa umakini mkubwa na pia third party pia kumlinda vizuri ili asijulikane na kila mtu ilisaidia sana.
Cha mwisho pia nadhani hakuwa mtu wa tamaa sana na pesa kwaiy asilimia kubwa aliendelea kuishi maisha yale yale aliyokuwa akiishi before ikawa ngumu kuacha clue ya kum suspect hahaha kazi za UJASUSI ngumu sana ukimess up kidogo tu you are gone.