Mfahamu Dimitri Polyakov, MOLE wa CIA ndani ya KGB aliyechomeshwa na Afisa wa CIA Aldrich Ames

Huyu mzee pamoja na kuhisi wito alioitiwa si wa kawaida alishindwa kukimbilia ubalozi wa Marekani usiku uleule wa birthday 's party??
 
Waletee hii stori ya hili daraja, na wangapi walipita humo, ikiwemo Rudolf Ivanovich Abel AKA William August Fisher aliefanikisha mpango wa USSR kuiba siri za bomu la nyuklia akaja kubadilishana na yule pilot Francis Powers alietunguliwa kwenye U2 spy plane.....

Bridge of Spies



Na pia kuna huyu Jack Barsky wa KGB, aliejikuta kazama kwenye mbususu ya mwanamke mweusi huko US, na kusahau kazi yake, KGB wakatuma mtu kumrudisha USSR, akaona pona yake ni kuwadanganya amepata gonjwa la ukimwi(AIDS),wakati huo USSR ilikuwa inaliogopa sana hilo gonjwa, wakaamua kumchomea akakamatwa na CIA...

 
Usiwaze mdau nimeuzingatia ushauri wako...nitaufanyia kazi...Huyo pilot uliyemtaja hapo sio Francis powers ni Gary powers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…