OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Lakin sijaelewa mana uyu aliisalit marekan sasa iweje waone tabu kumfunga
Hakuna chances huko mkuu umesikia ya South Africa leo? ?!!!!!
Umesikia Snowden anavyohitajika???!!!!
Kama angesaliti "kweli" saa hizi ingekuwa historia hakuna litmus ya msaliti kwenye ujasusi "before a man there is a man and after a man there is a man"!!!!!!!