OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,562
Uko sawa lakini ujasusi ndio roho ya dola!!!!!Kweli kabisa, inabidi tubadilike nasi kwani miaka hii siyo ya kipindi kile cha 60's na 70's.
Hizi story Ndo Tunataka siye..Siyo Mara Zito.
Hizi story Ndo Tunataka siye..Siyo Mara Zito.
Ujasusi ni kitu kingine ndio maana hata hapa bongo wanasiasa wanaodhani wameweka mfukoni idara za ujasusi hawajui kuwa wao ndio wamewekwa mfukoni!!
Ukiona jinsi FBI na CIA wanavyoshiriki kwenye uchafu lakini wakiwa na projection za matunda bora baadae kwa Marekani ndio hapo unapoheshimu movement za kijasusi kama nguzo za taifa lolote.
Tuwape TISS mradi wa gesi bana wakue kama CIA (msinitoe macho).
Urafiki wenu haukuwa wa bahati ila planned chunguza mienenndo yenu utajua kupitia wewe kakutana na watu au kafika maeneo mengi tu "orientation and/ raport"
Ali expose hiyo historia as past ili wewe usijue current mission na kukuweka karibu ni kukisimulia hayo uliyopenda kuyasikia!!!!!
Katika urafiki wenu wewe ulikuwa ukiongea naye nini??!!!
Sisi huku tunawapeleka makada na wakurugenzi waliofeli mipango kuwa mabalozimmeisahau mossad ya Israel? Hiyo ndo noma sasa,majasusi wa mossad wametapakaa dunia nzima na huwezi kuwajua hata kidogo,kuna wengine wanajifanya ma padre ma sister,wapo ktk taasisi za kimataifa kama UNHCR,UNICEF,UN na nk,tena wengi wao wakitumia paspot za mataifa mengine,ili kuficha utaifa wao,hata hapa TZ tunao wengi,mwaka 2007 nikiwa nafanya bulyanhulu gold mine,nilishangaa kumuona mzungu mmoja akiwa anajua kiswahili vyema ana uraia wa canada ila cha ajabu anaijua mno israel na kuizungumzia mara nyingi kuliko canada,nataka niwaeleze kuwa,hawa mabalozi wa marekani ktk nchi mbalimbali ni majasusi namba 1 wa CIA,nyie huwa mnadhani hao ni diplomats,marekani na Israel si mataifa ya kawaida ktk medani za kijasusi,ni hatari sana.
Ni shida, halafu unaweza sikia kabajeti ka TIS kanafanana na ka wizara ka Afrika mashariki. Inawezekana pia hata east Afrika yetu hatujaikava vyema kijasusi. TIS ilitakiwa taasisi huru kabisa hata kifedha ijitengenezee yenyewe kijasusi, ituchagulie raisi na akizingua imtoe kijasusi, ingekuwa poa sana. Afrika tunalishwa ujinga eti demokrasia, taifa gani duniani ni la kidemokrasia bana.Sisi huku tunawapeleka makada na wakurugenzi waliofeli mipango kuwa mabalozi