Mfahamu Jenny Joseph, Star wa logo ya Kampuni ya Filamu ya Columbia Pictures

Sasa huku ata tukisema tumlipe msanii mamilioni hizo filamu zinaingiza bei tsh ngapi unakuta filamu zima mapato yake ni million 6 sasa mnagawanaje na actors/actress wakutosha tu.. mnaishia kupeana laki na nusu kila mtu apite hivi..

Hiyo ndo maana ya kuwa nchi masikini kila kitu ni kimasikini masikini tu.
 
Cjui kwanni huwa unapend kucheka asee,, koment zako nying kweny story tofauti tofaut hum jf lazima uweke emoj za kucheka,, nakupend bure #cocastic huna baya mwaya
Ahsanteeee, kucheka na kutabasamu ndo hulka yangu.

Nakupenda pia mwayaaa
 
duuu mdau nilikua kwenye harakati za kuandika makala kama hii kumhusu huyo mdada toka mwaka jana ila nikawa busy nashangaa umeiandika vile vile yani duuu kweli hii zaidi ya weird
ni juzi tu nilikua naangalia zombiland nikacheka sana mwisho wa picha mazombie yanapanda kuisosi hiyo sanamu ghafla huyo mdada anayazibua na huo mwenge yanazima then anarudi kutulia vile vile nilicheka sana ule ubunifu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…