KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Jamaa wameua kwa bei poa sana aiseeR.i.p
Kwa 60,000/ tu wanapora Roho yakoHii mikopo imetoka kuwa kausha damu Sasa imekuwa toa roho
Alikopa laki tatu, akawa anadaiwa Laki mbiliMkewe alikuwa anadaiwa sh ngapi?
Jina la kampuni limekaa kishari na kihuni, eti kampuni inaitwa "OYA".
Huyu ndiye marehemu Juma Jangalu, aliyekuwa mfanyabiashara wa korosho kwa kutembeza mtaani, na pia alimiliki duka hilo hapo pichani.
Huyu ndiye aliyeuwawa na wakusanya madeni wa kampuni ya mikopo ya OYA huko Mlandizi.
Juma hakuwa amewakopa OYA bali ni mkewe ndiye aliyekopa OYA tena bila kumshirikisha mumewe.Baada ya mambo kuwa magumu, mke alikimbia nyumbani kuwakwepa OYAOYA walipofika wakamvaa mumewe kama madalali wa mahakama wa Yono Auction Mart.
Soma Pia: