Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Imenibidi nikujibu baada ya kusoma tu aya zako mbili !!.Here we go again. Seventh Adventists (Wasabato) at work. Yaani bila Papa na ukatoliki hamna dini. Hata hiyo misingi ya Usabato huwa mnaihubiri saa ngapi kama kazi yenu kuu ni kupambana na Papa na ukatoliki 24/7? Nyinyi mnaamini nini? Wokovu unapatikanaje? Kwa kusoma na kufuata mafundisho ya Bibi Ellen G. White? Kwa kutokula samaki wenye magamba, wanyama wasio na kwato zilizogawanyika na wale wasiocheua? Ni kwa kuabudu Jumamosi? Ni kwa kutokunywa chai, kahawa na soft drinks? Ni kwa kukurupuka na kuwa na kiherehere cha kuhusisha kila tukio na unabii wa vitabu vya Daniel na Ufunuo? Usabato ni nini? Mtu atakwenda mbinguni kwa sababu ni Msabato?
Inawezekana kweli Papa ni ajenti wa shetani na kahaba mkuu wa Ufunuo lakini je, hili linawasaidiaje nyinyi kama Wasabato? Mbona mko so obsessed na Papa na Wakatoliki? Dini na madhehebu mengine yote yako sawa isipokuwa Wakatoliki? Mbona siwaoni mkiwachimba mf. Mormons au Jehova's Witness? Why Catholics only? Au mna bifu la kihistoria na Papa na ukatoliki?
Samahani kwa maswali mengi na natumaini kwamba hutatoa povu na badala yake utajaribu kutuelimisha kuhusu kikundi hiki cha kifarisayo (washika sheria za Musa) kiitwacho Seventh Adventists, kiundi chenye mauzauza mengi yasiyofungamana na mafundisho ya Biblia.
Anyway, Happy New Year mkuu (kama mnasherehekea mwaka mpya)! Naona mwaka mpya Wasabato mmeuanza vizuri na Wakatoliki aisee mpaka waombe poo [emoji23][emoji23][emoji23]. Post zaidi ya 7 hivi za kuanika ushetani wa Papa na ukatoliki tangu 2017 uanze. Ingekuwa mnashambulia let's say Uislamu naamini threads zenu zingekuwa zinafutwa. Komaeni na "mashetani" na "makahaba" wa kikatoliki mpaka kieleweke ila tu hakikisheni kuwa na nyie mko sawa kiimani!
Kwanza nianze kwa swali Unasoma biblia ???? Kama hapana ,, nakushauri tu ,, wokovu haupo kwa kusema tu eti iman yako ndo inakufikisha mbiguni ..KASOME BIBLIA NAMUNGU AKUSAIDIE KUITAMBUA SAWASAWA .
Mama Helen ?????? Ndo kaandika biblia ???? Usile samaki kwan yeye ndo alikataza ???? Hii inaonyesha namna gan husomi biblia nahuwezi kujua maana ,,sanasana huo wokovu uuzungumzie mdomoni tu otherwise kuupata uo wokovu nilazima usome biblia .
kama ni ndio ,,Sasa nakukaribisha ,,twende pole pole kwayote uloyazungumza ,,maana mwenzako ameandika kwa kunukuu biblia na ametoa baadhi ya nukuu za watu ,,,tena kukuelewesha ametumia ma lugha ya picha !!
Sasa wewe umekalia kuongea tuu kama mzaramo bila hata nukuu yaan umetoa kilichokichwani mwako !.
Hoja inajibiwa kwa hoja !!.