Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Imenibidi nikujibu baada ya kusoma tu aya zako mbili !!.

Kwanza nianze kwa swali Unasoma biblia ???? Kama hapana ,, nakushauri tu ,, wokovu haupo kwa kusema tu eti iman yako ndo inakufikisha mbiguni ..KASOME BIBLIA NAMUNGU AKUSAIDIE KUITAMBUA SAWASAWA .
Mama Helen ?????? Ndo kaandika biblia ???? Usile samaki kwan yeye ndo alikataza ???? Hii inaonyesha namna gan husomi biblia nahuwezi kujua maana ,,sanasana huo wokovu uuzungumzie mdomoni tu otherwise kuupata uo wokovu nilazima usome biblia .

kama ni ndio ,,Sasa nakukaribisha ,,twende pole pole kwayote uloyazungumza ,,maana mwenzako ameandika kwa kunukuu biblia na ametoa baadhi ya nukuu za watu ,,,tena kukuelewesha ametumia ma lugha ya picha !!

Sasa wewe umekalia kuongea tuu kama mzaramo bila hata nukuu yaan umetoa kilichokichwani mwako !.

Hoja inajibiwa kwa hoja !!.
 
Fafanuzi za uongo hizo kitabu cha ufunuo kiko wazi kwa sababu kabla ya ufunuo kili funuliwa chote yote yaliyomo kwenye ufunuo yametafsiliwa na vitabu nya nyuma
Yamefunuliwa ktk vitabu gan ?? Naomba unisaidie
 
Soma biblia ,, familia yetu ilikua roman Catholic tena pure ,namie naliwah kua msaidiz wa padre wakati wa ibada ktk kipindi fulan ivi ,,ila siku moja ktk pita pita zangu nikawa nasikia kwambali mahubiri ya wasabato nakulikua kama kuna ujibuji wamaswalu ,,,nayule muhubiri alionekana kujibu swali lilohusu IPI siku ya sabato ???? Toka hapo niliamua kurudi nyumban fasta nakuanza kusoma biblia ,,nilikua nahasira sana kwasababu sikua nataka MTU aisemee vibaya din yangu ,,but for sure kidogo kidogo nikawa naelewa vitu mpaka jpili namuuliza padre ,lkn hakuwahi kunijibu swali hata moja nilomuuliza mpaka nilipoamua kuacha kwenda chach ,, after that ,, ndipo nikawa naenda moja ya kanisa lasabato kwawizi wizi nikawa nawauliza maswali mpaka nikaelewa nanikazidi kuelew ,,nikabatizwa nikawa msabato ,,wazazi Wangu nikawapa masomo nao wakabatizwa ,, hivi sasa najitegemea kifamilia lkn nashukuru kwa kujua ukweli naumeniweka huru.

Kwaufupi siri yakujua ni kusoma tuu we mwenyewe hata km nimasomo yakawaida bila kua inquisitive hutaishia kukalili nabadae utalia eti hakuna ajira !!.
 
Kipofu akimwongoza kipofu mwenzie wote hutumbukia shimoni
imeandikwa
Yesu akawajibu, “Kama mngekuwa vipofu kweli, msingekuwa na hatia ya dhambi, lakini kwa kuwa mnasema, ‘Tunaona,’ basi mna hatia.’’ (YOHANE 9; 41)

ahsante nashukuru tena kwa mikono miwili

nakiri mimi ni kipofu kweli, na kwa taarifa yako ninatumia fimbo(YESU KRISTO) kutembea
na bila hiyo fimbo(YESU KRISTO) siwezi ona wala hisi chochote mbele,
na bila hiyo fimbo(YESU KRISTO) lazima nitaanguka shimoni...................

sasa hongera wewe mwenye macho na unayeona vizuri tena bila miwani na usiye hitaji fimbo(YRSU KRISTO), HONGERA SANA

nadhani unanikumbuka/unanitambua vyema
wewe endelea kujibu na kupangua hoja unazoulizwa hapo
naona unahamu sana na mimi,
SIJACOMENT WALA SIJAKUULIZA CHOCHOTE, LAKINI NAONA UMEAMUA KUNIREPLY
USIJALI KAZI YA KUJIBU MASWALI NA KUPANGUA HOJA NITAIANZA RASMI TRH 14 JULY, WALA SINA MIHEMKO NA PAPARA KAMA UNAVODHANI, NIPO FREE IN MIND NA NAJUA NINI NINACHOKIFANYA

otherwise jioni njema na kazi njema pia

OVER
 
Wewe muabudu sanamu nikishakuambia siku nyingi. Hadi uachane na sanamu ndipo akili yako itakuwa sawa.
Simple, nimekuuliza unafahamu practically Nabii Mke EGW alikuwa kahaba kabla ya kukuolewa na Bw. James White...?
 
Nitaipandisha kama uzi...Soon
 
Napandisha uzi wa kuonesha Nabii Mke Ellen G White alivyokuwa Mpinga kristo....Nakukaribisha huko tutajibiana kwa hoja.......Bablaeeeeee
 
 
Ubarikiwe mjoli, mimi pia niliongolewa kutoka Baptist kwa kusoma Biblia na vitabu vya kisabato. Kuna kitabu kinaitwa Vita kuu.hicho kilinipa mwanga sana, humo shetani na wakala wake mnyama wa kanisa katoliki wamefunuliwa wazi.na baadae nikasoma kitabu kinaitwa homa ya dunia, sikukawia nikabatizwa.
Asante ya Yesu kwa kunielekeza kwenye ukweli wa neno lako.
 
Naww pia ubarikiwe sana mtumishi !!.
 
Kahaba Ellen g White alitimuliwa kanisa lake la Baptist huko Marekani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…