Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Ndg pole sana kwa uvumilivu kwani unatumia hekima kuwajibu watu hawa na usikate tamaa.

Nashukuru sana kwa ushauri wako wa kuweka hiyo post kama Uzi,binafsi nakusubiri sana kuanzia hiyo tarehe14 July.
 
 
Yesu alimsamehe kahaba tena kwa moyo wenye upendo mkubwa ...

BTW. , thibitisha kauli yako !!.
Uthibitisho gani...?.....Yani labda unataka picha jinsi alivyokuwa anafanya ukahaba kwenye street za marekani...? au Unataka uthibitisho jinsi alivyopigwa jiwe na mwenzake na kuwa na utindio wa akili kwa muda wa miaka 20.../ unaakili timamu wewe
 
Uthibitisho gani...?.....Yani labda unataka picha jinsi alivyokuwa anafanya ukahaba kwenye street za marekani...? au Unataka uthibitisho jinsi alivyopigwa jiwe na mwenzake na kuwa na utindio wa akili kwa muda wa miaka 20.../ unaakili timamu wewe
Daahhh mkuu kwanza nambie unajua Mama Helen G white alikuwepi ktk miaka IPI ????
 
Daahhh mkuu kwanza nambie unajua Mama Helen G white alikuwepi ktk miaka IPI ????
Yani unataka nikueleze Nabii Mke Ellen Gould white, mke halali wa bw. James White yule mkulima wa Massachusset alizaliwa lini, wapi na kijiji gani...? Nakuuliza tena una akili timamu....?
 
Yani unataka nikueleze Nabii Mke Ellen Gould white, mke halali wa bw. James White yule mkulima wa Massachusset alizaliwa lini, wapi na kijiji gani...? Nakuuliza tena una akili timamu....?
Twende pole pole maana lengo langu nataka nikushike uongo , Mimi habar za mama Hutu nmezisoma sana ,,, so twende mdogo mdogo ...nambie wakati wake alokuwepo yaan nimiaka IPI ????
 
Hoja dhaifu kwa mtu anayejiita padri. Wenzio wanakiri wazi kuwa papa ndiye mnyama ila wako huko kwa maslahi tu.

Haya nikirudi kwenye hoja yako ni lazima huyo mnyama Ellen G. White kama ulivyomwita kuwa ndiye namba 666 inamsema, sharti atimize maelezo yaliyoko Daniel 7:21-21 na ufunuo 13 15-18.
1. Huyo mnyama atatesa watakaktifu kwa miaka 1260. Ellen G white hata hakufika miaka 90 ya uhai wake. Hoja yako ni mfu.
2. Mnyama anayetajwa katika ufunuo 13:15-18. Atalazimisha watu wote ulimwenguni kuisujudia sanamu yake. Ellen G. White alishakufa siku nyingi hana mammlaka ya kushinikiza watu wote wamwabudu. Lakini roman catholic na papa wana mamlaka hayo kwa kuwa kila taifa linamtii papa.
3. Alama ya 666 inahusu mnyama au mamlaka kama biblia inavyosema katika Daniel 7. Wanyama ni wafalme juu ya uso wa dunia. Ellen G. White hakuwahi kuwa mtawala juu ya uso wa dunia, bali ipapa ni mamlaka iliyotoka katika ufalme wa nne juu ya uso wa dunia, yaani rumi.
5. Upapa ni taasisi hivyo kumhusisha mtu mmoja na taasisi ni kukosa hoja. Hata Nero mnayedai ndiye mnyama sio taasisi.
Mpaka hapo umeshajua kuwa njia ya mwongo ni fupi. Nakishuri acheni kudanganya watu mtakija kudaiwa hizo roho mnazozipotosha. Mungu hadhihakiwi.
 
Kinacho nishangaza kila mmoja ana uhakika 100℅ DINI yake inampeleka kwa Mungu, na kwamba ni "sahihi". Mbaya zaidi ni kujiona bora kuliko wengine, zaidi sana "KUKASHIFU" wengine. Hii inaleta ukakasi inaondoa ladha ya ushawishi wengine kujiunga, ninacho amini, wote ni wahanga wa "vitabu vilivyoletwa na wazungu". sijaona aliye na uhakika wa kwenda "motoni kama mimi" huku ni stress free!!!!! Karibuni
 
Simnasema Yesu ni MUNGU na Mariam ni mama wa Yesu. So kwanini uhoji Mariam kuitwa mama wa MUNGU
 

Pole sana, kama wewe ni msomaji biblia na ukawa unaamini sabato ni jumapili basi ulikuwa na tatizo. Sabato ipo wazi katika biblia ni jumamosi, ila pamoja na hilo haimaanishi kwamba kusali jumapili sala zako hazisikiki.

Wakatoliki wa ukweli wanajua sabato ni jumamosi, na wanaendelea kuabudu katika siku ya jumapili.
 
Endelea kushika sabato kama ndo njia ya kweli na uzima
hapo ndipo penye Subira ya watakatifu hao wazishikao AMRI ZA MUNGU na KUWA NA USHUHUDA WA YESU
uf 12:17

SASA SIJUI NI MBINGU IPI HIYO MNAYOISUBIRI ISIYOTII AMRI ZA MUNGU

Na moja wapo ya Amri za Mungu ni SABATO
 
Sasa kwann uidanganye nafsi yako Kwa kivuli cha kupuuza ?? Iyo niakili au ?? Umeshajua sabato yakweli yaMungu in jmos alafu bado unahangaika na jpl ndo nn sasa ?? Nais hapo utakua unaishi Kwa kumtegemea MTU.
 
Hili neno Jmosi kwenye biblia unalitoa wapi?inasemwa siku ya saba basi.kupanga siku kwa kuzitamka toka j3 au jpili mpka hyo jmosi neno hilo unalitoa wapi kwenye biblia?Bible ni ya wazungu walileta na kusema wanatufunua macho tumjue MUNGU,siku walizipanga wao na hazijawahi kueleweka mpaka leo,biblia hiyo hiyo inamaanisha siku nzima moja ni toka asubuhi mpaka jioni,lakini wao wakaja na masaa 24.toka saa6 usiku mpaka saa6 usiku mwingine kua ndo siku nzima,siku ya jmosi kwenye biblia utaipata wapi?haipo na ndo mana karibu kila siku iendayo kuna siku ya saba ya juma kwa imani tofauti tofauti duniani pote.
 
Sasa kwann uidanganye nafsi yako Kwa kivuli cha kupuuza ?? Iyo niakili au ?? Umeshajua sabato yakweli yaMungu in jmos alafu bado unahangaika na jpl ndo nn sasa ?? Nais hapo utakua unaishi Kwa kumtegemea MTU.

Swali moja nikuulize, mtu akitenga siku tofauti na Jumamosi akaamua hii ndo siku yangu nitakayokuwa naabudu, je sala zangu zitakuwa hazisikiki.? Ama sitokuwa najibiwa maombi yangu.?


Na nyie ni wapi katika biblia palipowakataza watu wasinywe chai, wasisuke nywele.

Mbona kuna mengi tuu na ambayo ni serious wasabato wanayafanya na katika biblia yapo tofauti.? Starting from kula kambare, kitimoto, hiyo ya kusuka nk.
 

Juu ya hili usibishe. Wakristu wengine tofauti na wasabato tunaabudu jumapili na sababu kuu maadhimisho ya pasaka ni jumapili hivyo jmapili ni siku ya ushindi kwetu wakristo na ikatengwa hivyo.

Pasaka inaadhimishwa jumapili, na imekuwa stated kabisa katika biblia kuwa siku ya kwanza ya juma yesu alifufuka. From logic tuu utagundua kuwa jumamosi ni siku ya mwisho ya juma.

Ilaa, nimemuuliza swali kuwa, mimi ninayesali jumapili sala zangu hazisikilizwi.? Au je sala zake yeye anayesali jmosi zinasikilizwa sana zaidi ya zangu.?

Maana sioni kama ni big issue kusali jumapili kwa maana imeandikwa mungu yupo mahali popote, na wakati wote, ni wewe tuu kuomba na kusubiria majibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…