Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Nimekulia katika Usabato. Naujua vizuri sana. Wanaamini kuwa WAO PEKEE ndiyo watakwenda mbinguni kwa sababu tu ni wasabato na wanasali Jumamosi. Self righteous. Watakatifu. Wajinga. Kiburi. Kuhukumu wengine wakati matendo yao hovyo hovyo tu. Makambini huko ni kugegedana tu. Wanaamini kuwa kazi ya Yesu haikumalizika pale msalabani na kuanzia mwaka 1884 eti Yesu aliingia mahali huko mbinguni panapoitwa patakatifu pa patakatifu ili kuanza kutuombea rasmi (atonement) wenye dhambi huku akijiandaa kurudi mara ya pili. Wananyofoa nyofoa sheria obsolete za Musa na kuzifuata (kutokula nyamafu, samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato n.k). Yaani ni vurugu mechi tupu! Focus kubwa ni unabii hasa vitabu vya Daniel na Ufunuo. Twisted Theology na mhanga mkubwa ni Papa na Ukatoliki. Huyo mama mwenye hallucinations baada ya kuanguka na kuharibika ubongo vitabu vyake wamekuwa wakivibadili badili ili viendane na Biblia mf. The Great Controversy. Hawa ndiyo wanaamini kuwa wanaweza kupanda ndege na kwenda kuhubiri bila passport na visa; na bila kujua huko wanakoenda. Lengo lao kuu ni kupambana na ukatoliki mpaka wanasahau kueneza injili kwa upendo na kuleta mavuno kwa bwana. Ni very arrogant kama unavyowaona hapa. Name calling. Kudharau wengine huku wakiamini kuwa usabato ndiyo sifa mama itakayowafikisha mbinguni.Hivi watu bado wanafikiri wataingia Mbinguni kwa ajili ya dini?
Theologians wengi wanautambua Usabato kama christian cult iliyofanikiwa sawa na Jehovah's witnesses. Hata hivyo siku za karibuni, baada ya kuachana na mawazo mengi ya mwanzo ya kiwehu ya "nabii" Ellen na kuacha tabia ya kutabiri tabiri tarehe ya kurudi kwa Yesu, imeanza kukubalika kwamba Usabato umeanza kujivika sura ya Ukristo sawia na uliosimikwa katika misingi ya Kiblia japo kikwazo kikubwa bado hilo fundisho la Yesu kuhamia chemba maalum mwaka 1884 baada ya kurudi kwake kushindikana kama mwanzilishi wao Miller alivyotabiri. Baada ya watu kuuza mali zao zote na kumsubiri Yesu bila mafanikio mwaka 1884 Miller ilibidi abadili gia angani na kusema kuwa alikuwa amekonfyuzi tu makalikyulesheni yake na huo mwaka 1884 kumbe Yesu alikuwa harudi bali alikuwa anahamia chemba nyingine huko mbinguni ili kuanza kazi rasmi ya kutuombea. Fundisho hili la.msingi linapingwa sana na wanatheologia wengi kwa sababu linamaanisha kwamba kazi ya Yesu haikumalizika pale Msalabani.Adios watakatifu wa Sabato [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]