Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Huna hoja kanye ulale!Mroma katika ubora wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna hoja kanye ulale!Mroma katika ubora wake
Kwahyo kama biblia inataja mamlaka na s individual papa na ukumbuke umesema upapa utapewa kutawala miezi 42 tu je imepita au bado na kama bado huu wa sasa n nini...au hyo miez 42 inaanza kutumika lini...
Ok to make things clear...mnyama wa nne mwenye pembe kumi na vichwa saba ni ufalme wa rumi na biblia inasema vile vichwa saba ni wafalme saba ambao watano wamekwisha anguka,mmoja yupo sasa(manake aliyekua anatawala wakati kitabu hicho cha ufunuo kinaandikwa) na mmoja hajaja ambaye akija atakaa kitambo kidogo!pia inasema huyu wa saba ndo wa nane...swali je hapa upapa utakua katila wafalme wap hao watano waliokwisha anguka? Au n huyu ambaye hajaja?unaweza kututajia hawa wafalme saba kussuporr claim yako yakua katika vichwa hv upapa ndo mmja ulipata jeraha la mauti kwa kufungwa gerezani?Hiyo miezi 42 ama miaka 3.5 au siku 1260 kiunabii ni miaka 1260. Rejea Ezekieli 4:6 siku moja sawa na mwaka. Kipindi hiki huelezea mateso yanayofanywa na upapa wa kikatoliki kwa watu wa Mungu waaminifu kwa neno lake. Mamlaka hii ilianza mateso mwaka 538 AD hadi 1798 AD baada ya papa kutekwa nyara na mfalme wa Ufaransa Napoleon na kuuawa huko Ufaransa. Ufunuo inafananisha tukio hilo na mnyama kupata jeraha la mauti. Na pia inarejea tukio la kutekwa kwa papa
" Mtu akichukua mateka, atachukuliwa mateka. Mtu akiua kwa upanga, atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye subira na imani ya watakatifu."(Ufunuo 13:10)
Lakini Biblia husema tena kuwa jeraha la mauti lilipona na dunia yote ikastaajabu. "Nikaona kimoja cha vichwa vyake kana kwamba kimetiwa jeraha la mauti, na pigo lake la mauti likapona. Dunia yote ikamstaajabia mnyama yule." (Ufunuo 13:3)
hapa ni baada ya upapa kurejea tena mwaka 1920 kupitia mji wa Vatican baada ya serikali ya Italy kutoa huo mji maalum kwa ajili ya papa na serikali yake. Mamlaka hii inaendelea kujikusanyia nguvu huku ikisaidiwa na mataifa makubwa kama marekani, watarejesha tena mateso ya awali kwa watu wa Mungu watakaokataa kupokea chapa ( Ufunuo 13:15-18).
15. Akapewa kutia pumzi katika ile sanamu ya mnyama, hata ile sanamu ya mnyama inene, na kuwafanya hao wote wasioisujudu sanamu ya mnyama wauawe.
16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao;
17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile, yaani, jina la mnyama yule, au hesabu ya jina lake.
18 Hapa ndipo penye hekima. Yeye aliye na akili, na aihesabu hesabu ya mnyama huyo; maana ni hesabu ya kibinadamu. Na hesabu yake ni mia sita, sitini na sita.
Acha kurukaruka Kitaja jibu kwa hoja.Kama huyu padri ndiye mnamtegemea kwa hoja nawapa pole. Mapadri ninaowajua maparoko na mabruda nimefanya nao mazungumzo ya neno la Mungu tena nikiwa na wachungaji wa kilutheri. Wote walikiri kuwa wasemacho wasabato ni ukweli mtupu. Papa ndiye mnyama wa ufunuo 13. Ila sasa wafanyeje ilihali kula yao inaegemea kazi yao hiyo? Niliwatia moyo kuwa siku moja Mungu atawapa kazi nyingine bora zaidi ila wawe tayari kutoka babeli. Kuna mchungaji mmoja wa moravian ni rafiki yangu huwa nampa vitabu vya kanisa letu na anavitumia kufundishia.
Huyu padri wenu angekuwa mkweli angekiri kama wenzie walivyokiri. Ukimkiri Yesu atakukiri mbele za Baba na Malaika Watakatifu.
Mkuu apa umewapa makavu lkn cha kushangaza ni kwamba wanawakana hata manabii wao na tabiri zao kilichobaki ni kuwashambulia Wakatoliki.Nimekulia katika Usabato. Naujua vizuri sana. Wanaamini kuwa WAO PEKEE ndiyo watakwenda mbinguni kwa sababu tu ni wasabato na wanasali Jumamosi. Self righteous. Watakatifu. Wajinga. Kiburi. Kuhukumu wengine wakati matendo yao hovyo hovyo tu. Makambini huko ni kugegedana tu. Wanaamini kuwa kazi ya Yesu haikumalizika pale msalabani na kuanzia mwaka 1884 eti Yesu aliingia mahali huko mbinguni panapoitwa patakatifu pa patakatifu ili kuanza kutuombea rasmi (atonement) wenye dhambi huku akijiandaa kurudi mara ya pili. Wananyofoa nyofoa sheria obsolete za Musa na kuzifuata (kutokula nyamafu, samaki wasio na magamba, wanyama wasio na kwato n.k). Yaani ni vurugu mechi tupu! Focus kubwa ni unabii hasa vitabu vya Daniel na Ufunuo. Twisted Theology na mhanga mkubwa ni Papa na Ukatoliki. Huyo mama mwenye hallucinations baada ya kuanguka na kuharibika ubongo vitabu vyake wamekuwa wakivibadili badili ili viendane na Biblia mf. The Great Controversy. Hawa ndiyo wanaamini kuwa wanaweza kupanda ndege na kwenda kuhubiri bila passport na visa; na bila kujua huko wanakoenda. Lengo lao kuu ni kupambana na ukatoliki mpaka wanasahau kueneza injili kwa upendo na kuleta mavuno kwa bwana. Ni very arrogant kama unavyowaona hapa. Name calling. Kudharau wengine huku wakiamini kuwa usabato ndiyo sifa mama itakayowafikisha mbinguni.
Theologians wengi wanautambua Usabato kama christian cult iliyofanikiwa sawa na Jehovah's witnesses. Hata hivyo siku za karibuni, baada ya kuachana na mawazo mengi ya mwanzo ya kiwehu ya "nabii" Ellen na kuacha tabia ya kutabiri tabiri tarehe ya kurudi kwa Yesu, imeanza kukubalika kwamba Usabato umeanza kujivika sura ya Ukristo sawia na uliosimikwa katika misingi ya Kiblia japo kikwazo kikubwa bado hilo fundisho la Yesu kuhamia chemba maalum mwaka 1884 baada ya kurudi kwake kushindikana kama mwanzilishi wao Miller alivyotabiri. Baada ya watu kuuza mali zao zote na kumsubiri Yesu bila mafanikio mwaka 1884 Miller ilibidi abadili gia angani na kusema kuwa alikuwa amekonfyuzi tu makalikyulesheni yake na huo mwaka 1884 kumbe Yesu alikuwa harudi bali alikuwa anahamia chemba nyingine huko mbinguni ili kuanza kazi rasmi ya kutuombea. Fundisho hili la.msingi linapingwa sana na wanatheologia wengi kwa sababu linamaanisha kwamba kazi ya Yesu haikumalizika pale Msalabani.Adios watakatifu wa Sabato [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha aje tu atujibu na atatuambia hlo jeraha la mauti ambalo wao wanasema n kutekwa kwa papa na kufungwa gerezani..ss sijui kwann wanaliita jeraha la mauti na wana mfano mmoja tu wakati katika historia kuna mapapa sita waliowahi kufanyiwa hivi ikiwano Martine(17 june 653),john xxii(1415),Boniface viii,pius vi(1798),clement vii(1527) na john i(526) na sababu ikiwa n kutofautiana na ma emperors(kings) waliokua wanatawala na kuwakumbusha tu kipindi chote walichotaja cha kati ya 538-1798 mapapa hawakua walitawala serikali walikua kidini tu. Akatizame hata katika ze sack of rome 1527 mfalme wa ufaransa anavamia rome anamteka pope clement na anaamua kumchagua Henry iii kuwa papa(sasa hli sijui halitoshi kua jeraha la mauti kwa upeo wao? Oooh no tukiliweka hl litakataa kwny zle 1260 inabd tukazanie kulekule kwa 1798 ili 1260 ije...hahahahaha)Acha kurukaruka Kitaja jibu kwa hoja.
Hivi unafahamu kuwa Biblia ni kazi ya Wakatoliki.....?
Sasa iweje waache vitabu/kitabu ambacho/ambavyo leo hii kinakuwa fimbo kwao...?
Unajua kuwa Wakatoliki walianza kuisoma biblia kabla ya kundi lolote lile,ie Walutheri,Waanglikana,Wasabato nk.
Hebu jibu hoja za Pd Amigu ukimaliza mjibu benchecs sio kurukaruka.
Hao Mapadri,Mashemasi,Brothers wanaokubali mnyama ni Papa sio Wakatoliki ni Wakisabato.
Hawa jamaa wakibanwa wanarukia kitu kingine,they are very shallow kwenye Bible.Hili hoja yako nmekuuliza naona umekosa majibu ukapotelea hewani umebaki na maneno yako tu...uliiongea jana ulipokua unamtetea bi Ellen nkakujibu nkaluuliza na maswal naona yamekua ya moto...umebak umekalili maneno ufunuo 13 na papa ndiye mnyama
Hahahaha naona wanavoruka ruka mara leo watakwambia kahaba ni papa,kesho upapa ni taasisi,mara pembe ndogo n papa yn mradi kero tu...ukiwaridsha kwenye mistari watakwambi we kasome tu ufunuo 17 au 13 au kitabu cha daniel ukiwapeleka kweny mistari husika wanapotea....mtoa post ndo kabsa kaenda chimbo akalalilishwe ushabiki mwngne arudHawa jamaa wakibanwa wanarukia kitu kingine,they are very shallow kwenye Bible.
Wanakuja na Uzi wakijibiwa wanabadilisha upepo,
We endelea na huu uzi unaosema Kahaba wa Ufunuo ni Papa katikati ya mapambano watabadilika watakuletea hbr za Sanamu ukiwajibu watabadilika watakuletea hbr za Maria ukiwajibu wataleta hbr za sabato ni jumamosi.That's why nasema they are very shallow in Bible.
Huyo ndio zake anajulikana na hutamsikia tena kwenye huu uzi, cha ajabu ataibuka na uzi mpya alafu kama kawaida yake anapotea.Hahahaha naona wanavoruka ruka mara leo watakwambia kahaba ni papa,kesho upapa ni taasisi,mara pembe ndogo n papa yn mradi kero tu...ukiwaridsha kwenye mistari watakwambi we kasome tu ufunuo 17 au 13 au kitabu cha daniel ukiwapeleka kweny mistari husika wanapotea....mtoa post ndo kabsa kaenda chimbo akalalilishwe ushabiki mwngne arud
Nimekuuliza ni lini wewe ulitolewa utumwani Misri..?Well ,, nimeshapasoma na nmesoma tena upya ,, Hakuna mahali Mungu amesema Sabato ni ya waebrania !!.
Yesu ndiye Bwana wa Sabato . Akiwa ndani yako siku zote ni zakeSasa kaeni mkubaliane. Wenzio wanasema sabato ni siku yeyote uliyoochagua. Kubalianeni kwanza huko kisha mrudi hapa.
Huna historia wewe....Kahaba Bibi/Nabii Mke Ellen G White baada ya kushabikia mafundisho ya William Miller , kilichofuata ni kutimuliwa kwenye kanisa lake la MethodistManeno ya mkosaji
Hivi wewe una hadhi hata ya kukutana njiani Na Padre....??? Padre umuonee wapi we kenge..? Ndio mnavyojidanganya...?Kama huyu padri ndiye mnamtegemea kwa hoja nawapa pole. Mapadri ninaowajua maparoko na mabruda nimefanya nao mazungumzo ya neno la Mungu tena nikiwa na wachungaji wa kilutheri. Wote walikiri kuwa wasemacho wasabato ni ukweli mtupu. Papa ndiye mnyama wa ufunuo 13. Ila sasa wafanyeje ilihali kula yao inaegemea kazi yao hiyo? Niliwatia moyo kuwa siku moja Mungu atawapa kazi nyingine bora zaidi ila wawe tayari kutoka babeli. Kuna mchungaji mmoja wa moravian ni rafiki yangu huwa nampa vitabu vya kanisa letu na anavitumia kufundishia.
Huyu padri wenu angekuwa mkweli angekiri kama wenzie walivyokiri. Ukimkiri Yesu atakukiri mbele za Baba na Malaika Watakatifu.
Soma comment # 241 halafu njoo kama una hoja. Vinginevyo kanye ulale!Ukweli ukikugusa ufuate. Acha kumlalamikia mtoa mada. Si yeye aliyeandika Biblia bali ni mjumbe tu.
Umeelewa post yake..?Inaonyesha ulifumwa kwenye ugoni ukakataa kubatizwa na ukaamua kuasi kanisa ndio maana una hasira sana na wasabato. Neno la Mungu halitaki hasira ndugu.
Huyo anajulikana,kwani umeona akicomment toka arushe uzi..?zaidi kuwaachia mzigo wa maswali/hoja Wasabato wenzake toka kwa Wakatoliki,yeye waala hayupo...!na sasa hivi yupo chimbo na akiibuka anaibuka na Uzi mpya.Hv ulijuaje kama aliyeandika ni msabato make naona povu jingi
Ni denti halafu. Na hana utakatifu wo wote typical ya hawa jamaa ambao hudhani kuwa eti kwa vile wanasali Jumamosi basi mbingu ni yao na wengine wote wamepotea. Enzi zile nipo Jukwaa la Wakubwa alikuwa anarusha vitu regularly...ngono mtindo mmoja. Na wakati huo huo huku pia anarusha vitu vya utakatifu wa wasabato. Unafiki uliopitiliza.Huyo anajulikana,kwani umeona akicomment toka arushe uzi..?zaidi kuwaachia mzigo wa maswali/hoja Wasabato wenzake toka kwa Wakatoliki,yeye waala hayupo...!na sasa hivi yupo chimbo na akiibuka anaibuka na Uzi mpya.
Tatizo mmeaminishwa kuwa Padre ni kama Mungu. Kwa taarifa yako mapadre wengi ni marafiki zangu. Shule niliyosoma ilikuwa ya kanisa katoliki kabla ya kutaifishwa na serikali hvyo tulikuwa karibu kabisa na kanisa katoliki na makazi ya mapadri. Mapadri nimekaa nao,nimekula nao,nimecheza nao mpira kwa wale vijana na istoshe naendelea kuwasiliana nao na tunajadili neno la Mungu. Wewe endelea kukaririshwa misale.Hivi wewe una hadhi hata ya kukutana njiani Na Padre....??? Padre umuonee wapi we kenge..? Ndio mnavyojidanganya...?