Acha kurukaruka Kitaja jibu kwa hoja.
Hivi unafahamu kuwa Biblia ni kazi ya Wakatoliki.....?
Sasa iweje waache vitabu/kitabu ambacho/ambavyo leo hii kinakuwa fimbo kwao...?
Unajua kuwa Wakatoliki walianza kuisoma biblia kabla ya kundi lolote lile,ie Walutheri,Waanglikana,Wasabato nk.
Hebu jibu hoja za Pd Amigu ukimaliza mjibu benchecs sio kurukaruka.
Hao Mapadri,Mashemasi,Brothers wanaokubali mnyama ni Papa sio Wakatoliki ni Wakisabato.
Acha uongo wewe,unaposema biblia ni kazi ya wakatoliki una maanisha nini,biblia ni kazi ya Mungu mwenyewe,
Kanisa katoliki ndie adui mkubwa wa biblia
Mafungu mengi ya biblia yanabadilishwa taratibu na kwa siri sana kwa kupitia kanisa katoliki
Amri za Mungu zilizotolewa pale sinai zimebadilishwa na kanisa hili
Katechsm inasema wazi"kwa mamlaka ya kanisa tumeamua kuibadili sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili"
Soma amri kumi za Mungu zilizo kwenye catechsm na zilizo kwenye biblia utaona uchakachuaji uliopo mule
Kuna amri zimeondolewa na nyingine kugawanywa ili kutimiza amri kumi ambazo sasa sio zile halisi alizotoa Mungu
Kanisa katoliki halina mamlaka ya kubadili maagizo ya Mungu[amri zake kwa namna yoyote ile.
Sheria ya Mungu haibadiliki.
Soma mathayo 5:17-19,1 yohana 2:3-5,1 yohana 5:3
Soma maandiko kwa makini sana utaigundua siri ya kuasi ambayo imewadanganya wengi kwakuwa inatenda mambo yake kwa siri sana
Acha kurukaruka Kitaja jibu kwa hoja.
Hivi unafahamu kuwa Biblia ni kazi ya Wakatoliki.....?
Sasa iweje waache vitabu/kitabu ambacho/ambavyo leo hii kinakuwa fimbo kwao...?
Unajua kuwa Wakatoliki walianza kuisoma biblia kabla ya kundi lolote lile,ie Walutheri,Waanglikana,Wasabato nk.
Hebu jibu hoja za Pd Amigu ukimaliza mjibu benchecs sio kurukaruka.
Hao Mapadri,Mashemasi,Brothers wanaokubali mnyama ni Papa sio Wakatoliki ni Wakisabato.
Acha uongo wewe,unaposema biblia ni kazi ya wakatoliki una maanisha nini,biblia ni kazi ya Mungu mwenyewe,
Kanisa katoliki ndie adui mkubwa wa biblia
Mafungu mengi ya biblia yanabadilishwa taratibu na kwa siri sana kwa kupitia kanisa katoliki
Amri za Mungu zilizotolewa pale sinai zimebadilishwa na kanisa hili
Katechsm inasema wazi"kwa mamlaka ya kanisa tumeamua kuibadili sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili"
Soma amri kumi za Mungu zilizo kwenye catechsm na zilizo kwenye biblia utaona uchakachuaji uliopo mule
Kuna amri zimeondolewa na nyingine kugawanywa ili kutimiza amri kumi ambazo sasa sio zile halisi alizotoa Mungu
Kanisa katoliki halina mamlaka ya kubadili maagizo ya Mungu[amri zake kwa namna yoyote ile.
Sheria ya Mungu haibadiliki.
Soma mathayo 5:17-19,1 yohana 2:3-5
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app