Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Mimi nilidhani uliporudi nyumbani roman catholic ndo umekuwa mtakatatifu. Maana umeponda usabato ukidai kumejaa ngono ndiyo maana ukaondoka. Hapa naona unasifia mambo yenu huko ya ngono. Kumbe tatizo halikuwa kwa wasabato bali tatizo unalo mwenyewe,jiangalie.
 
Wewe uelewa wako wa mambo ni mdogo mno. Kujibizana nawe ni kupoteza muda tu. Paragraph moja hiyo umeshindwa kuielewa, hoja na mada nzito nzito utaziweza? Pathetic!

Mimi siyo Roman Catholic lakini pia nakiri kuwa ni mtenda dhambi tu. Mimi siyo mtakatifu kama wewe msabato mnafiki unayejifanya mtakatifu wa bandia na kuhukumu wengine kisa tu eti unasali Jumamosi. Ni sawa na huyu mnafiki mwenzio aliyeanzisha huu uzi wakati ukiangalia thread zake zingine ni uozo mtupu. Niliondoka Jukwaa hilo karibu mwaka sasa lakini huyo msabato mwenzio ndo alikuwa kinara huko. Na post yangu hapo juu ililengwa kuakisi undumilakuwili wenu huo wa kujifanya watakatifu kumbe nanyi ni wanafiki tu na watenda dhambi wakubwa kama binadamu wengine!

Hamtakwenda mbinguni kwa sababu eti mnasali Jumamosi. Usabato hauokoi bali neema ya Mungu na damu ya mwokozi wetu iliyomwagika pale msalabani. Kazi za mikono yenu, matendo yenu na usabato wenu ni bure mbele ya Mungu. Fools !!!
 
Tatizo mmeaminishwa kuwa Padre ni kama Mungu.
na itakuwa aliyetuaminisha, si mwingine ila ni BI ELLEN G WHITE

hulijui kanisa katoliki, utamjuaje padre ??????

"awasikilizaye ninyi ananisikiliza mimi, naye awakataaye ninyi anikataa mimi; naye anikataaye mimi amkataa yeye aliyenituma," ----Lk 10:16

kwa taarifa yako
Padre ni mtumishi wa Mungu anayejitoa sadaka kwa ajili ya wokovu wa watu wa Mungu.
Licha ya sadaka hiyo, padre ni mwanadamu kama wanadamu wengine, aliyetwaliwa kati ya watu kwa mambo ya muhusuyo Mungu,
nanukuu Ebr 5:1-3.
"maana kila kuhani mkuu aliyetwaliwa katika wanadamu amewekwa kwa ajili ya wanadamu katika mambo yamhusuyo Mungu, ili atoe matoleo na dhabihu kwa ajili ya dhambi; awezaye kuwachukulia kwa upole wao wasiojua na wenye kupotea, kwa kuwa yeye mwenyewe yu katika hali ya udhaifu; na kwa sababu hiyo imempasa, kama kwa ajili ya watu, vivyo hivyo kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe, kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi, "

Padre hata baada ya upadrisho wake anaendelea kuwa mwanadamu. Na hali ya kibinadamu ni hali ya unyonge, uchovu, kushawishika pamoja na kukata tamaa.

"kama ningekutana na malaika pamoja na Padre, ningeweza kumsalimia kwanza Padre, kwani Malaika ni rafiki wa Mungu, na Padre ni Mhudumu wa Mungu."----by saint Francisco
"acha eneo na sehemu yoyote bila Padre kwa miaka ishirini, matokeo yake watu wataanza kuabudu wanyama."-----by saint Yohane Maria Viane

"awasikilizaye ninyi ananisikiliza mimi, naye awakataaye ninyi anikataa mimi; naye anikataaye mimi amkataa yeye aliyenituma," ----Lk 10:16


Wewe endelea kukaririshwa misale.
wewe ulitaka tukakaririshwe hivi vitabu chini ???????
Tumaini kuu, ,
Afya na Raha
Siri ya Ushindaji,
Vita Kuu
pendo lisilo kifani

ni vya nani UTAJUA MWENYEWE....................

Mapadri nimekaa nao,nimekula nao,nimecheza nao mpira kwa wale vijana na istoshe naendelea kuwasiliana nao na tunajadili neno la Mungu
SO, kwa hiyo labda ulitaka tukusaidie nini ?????????????
 
Tatizo nyinyi hamsomi biblia,mnaenda kanisani kusomewa tu,ukisoma biblia ukihusianisha na historia ya ulimwengu utagundua kanisa katoliki ndilo lililofanya machafuko hayo ikiwa ni pamoja na mauaji ya wanaoshika amri za Mungu,catechsm imebadili hata amri za Mungu,linganisha amri zilizo kwenye catechsm na bublia halafu soma daniel 7:25

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Acha uongo wewe,unaposema biblia ni kazi ya wakatoliki una maanisha nini,biblia ni kazi ya Mungu mwenyewe,
Kanisa katoliki ndie adui mkubwa wa biblia
Mafungu mengi ya biblia yanabadilishwa taratibu na kwa siri sana kwa kupitia kanisa katoliki
Amri za Mungu zilizotolewa pale sinai zimebadilishwa na kanisa hili
Katechsm inasema wazi"kwa mamlaka ya kanisa tumeamua kuibadili sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili"
Soma amri kumi za Mungu zilizo kwenye catechsm na zilizo kwenye biblia utaona uchakachuaji uliopo mule
Kuna amri zimeondolewa na nyingine kugawanywa ili kutimiza amri kumi ambazo sasa sio zile halisi alizotoa Mungu
Kanisa katoliki halina mamlaka ya kubadili maagizo ya Mungu[amri zake kwa namna yoyote ile.
Sheria ya Mungu haibadiliki.
Soma mathayo 5:17-19,1 yohana 2:3-5,1 yohana 5:3
Soma maandiko kwa makini sana utaigundua siri ya kuasi ambayo imewadanganya wengi kwakuwa inatenda mambo yake kwa siri sana
Acha uongo wewe,unaposema biblia ni kazi ya wakatoliki una maanisha nini,biblia ni kazi ya Mungu mwenyewe,
Kanisa katoliki ndie adui mkubwa wa biblia
Mafungu mengi ya biblia yanabadilishwa taratibu na kwa siri sana kwa kupitia kanisa katoliki
Amri za Mungu zilizotolewa pale sinai zimebadilishwa na kanisa hili
Katechsm inasema wazi"kwa mamlaka ya kanisa tumeamua kuibadili sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili"
Soma amri kumi za Mungu zilizo kwenye catechsm na zilizo kwenye biblia utaona uchakachuaji uliopo mule
Kuna amri zimeondolewa na nyingine kugawanywa ili kutimiza amri kumi ambazo sasa sio zile halisi alizotoa Mungu
Kanisa katoliki halina mamlaka ya kubadili maagizo ya Mungu[amri zake kwa namna yoyote ile.
Sheria ya Mungu haibadiliki.
Soma mathayo 5:17-19,1 yohana 2:3-5

Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
 
Uliyoandika hapa yanahusianaje na niliyosema hapo juu? Na kwa nini una-assume kuwa kila mtu anayehojiana nanyi ni Mkatoliki? Mimi siyo Mkatoliki ila nimekulia katika Usabato na nimesoma kila uchafu wa Ellen mpaka nilipong'amua kuwa kumbe nilikuwa nafuata cult inayofuata mafundisho ya nabii feki tena mwehu mwenye matatizo ya ubongo, na kwamba mafundisho yake mengi ni ya kishetani japo yamepambwa kwa lugha tamu iliyojaa taswira za kutisha na njozi za kupumbaza. Kokotaneni na huyu nabii wenu mwenye hallucinations huku mkidanganyana kuwa mtakwenda mbinguni kwa kuwa tu eti mnasali Jumamosi. Blind fools!
 
Nakuuliza una hadhi ya hata ya kupishana na Padre...???
 
Kambi za ngono bado zipo...?
 
Hahahahaha....Terehe 14 bado haijafika mkuu
 
Nmechoka kujibu hawa watu mana hoja zangu hawajibu wanazunguka kwny maneno yaleyale na kujipa tumaini lile lile.inaonekana mko so obssessed na ukatoliki na upapa na wala hamlet neno la Mungu zaid n kuponda tu
Hawana cha kujibu...ni mbumbumbu tuu
 

Rc mna kazi duh, kumbe mna mabint kama Lutheran, Anglican, TaG ha ha haaa jamaa ana deal na mama watoto watafuata tu; khkkikikikiki
 

Jambo mkuu! Mada za hivi hua unafungua turbo kbs..hongera
 
Kweli kabisa maandiko yapo wazi kuwa mpinga Kristo hukataa Yesu kuwa ni Kristo.Swali hao Wakatoliki hufanya hivyo? Kama sio nani basi ni mpinga Kristo? Nawashauri wasabato waache uchochezi wamtafute Mungu sabato ni namna tu ya kuabudu siyo tiketi ya mbinguni.

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Kwani wewe biblia si imekuambia uwe na amani na watu wote na huo utakatifu ambao hakuna atakayemwona Mungu bila huo? Wewe ushakuwa mtakatifu? Kama bado utafute maana huo ndo utakufanya umwone Mungu,na wala siyo usabato maana wapo wasabato wenzio masalia ambao hata ulaya walishindwa kufika.


Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
badala ya kuandaa list ya maovu yako na kuyaungama upate ufalme wa Mbingu,unahangaika kuandaa listi ya Wasabato watu ambao ni Mboni ya jicho la Mungu duniani
Ee Mungu mimi sikulaumu, lakini kwa nini unajificha mpaka wasabato wanakusingizia kuwa mboni yako ya jicho ni wao tu?
Ila najua neno lako linasema jinsi hii uliupenda ulimwengu wala halikusema uliwapenda Wasabato.
Sisi tutakutafuta acha wao wajisifu

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Wasabato siyo Wakristo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…