Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Muache uongo basi!nliwaomba mniletee ni papa yupi na ni lini ukatoliki ulibadili kusali kutoka jumamosi kuja jumapili namlete n amri zipi kumi zmefutwa na zipi zimebadilishwa hakuna aliyejibu mpka ss mnaruka ruka tu!
Atakayenijibu ndio ntamwonyesha n lini kusal jpl kulianza kutokea kweny biblia bla kupepesa....sitoi hoja nisiyoweza kuitetea kma nyinyi...mna hamjui hta katekisimu ilkuja lin au iliandikwa lin mnaropoka tu
 
Nmechoka kujibu hawa watu mana hoja zangu hawajibu wanazunguka kwny maneno yaleyale na kujipa tumaini lile lile.inaonekana mko so obssessed na ukatoliki na upapa na wala hamlet neno la Mungu zaid n kuponda tu
Thats all...!hawana kitu kingine zaidi ya hayo.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu naomba July 14 unitag.

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Nafikiri hukunielewa,Wakatoliki ndio walio compile biblia kwa mfululizo huo unaosomwa leo na jamii zote za wakristu,yani kitabu cha Mwanzo mpaka Ufunuo wa Yohana,ukitaka historia utaipata Ila kwa sasa tujikite "Kababa wa Ufunuo " kama isemavyo heading ya uzi.

Umesema Wakatoliki ndio Adui wa biblia....Je ukiombwa kudhibitisha hili utaweza..?

Hizo amri 10 za Mungu zilizopunguzwa/kuongezwa unaweza kuzitaja....?
 
Aliye fufuka,au kupaa mbinguni siyo Yesu kristo Bali ni kristo,Yesu ni mwili tu waduniani,na jina Yesu kristo lilipatikana pale neno lilipovaa (ungana) mwili wa duniani ambao ulibaki duniani na kilichopaa ni kristo (neno au roho)tu. Soma 1 corinthians 15;20 na yahana 1:1

Sent from my BLU Advance 5.0 using JamiiForums mobile app
 
Mh,mna hatari sana ngoja niondoke radi isije kunikuta kwenye huu uzi
 
Fafanuzi za uongo hizo kitabu cha ufunuo kiko wazi kwa sababu kabla ya ufunuo kili funuliwa chote yote yaliyomo kwenye ufunuo yametafsiliwa na vitabu nya nyuma

= yametafsiriwa

Ni kweli Tyndale aliuliwa kwa kuchomwa moto na utawala wa Papa kwa kuitafsiri biblia?

Naona kama picha ya jiwe la kaburi lake imewekwa juu hapo linasomeka hivyo.
 
Hawa na Kikundi chao hawaelewi hata Dunia inavyoenda, wapo zero, nani asiye elewa maana ya mavazi na kwa Rangi zake, Je hakuna kanisani kwenu vitambaa au watu wanovaa mavazi ya Zambarau na mekundu ndio tuseme ni yale yaliyoyabiliwa ktk ufunuo?? Mfikirie kwa upana na sio kudanganywa kwenye kikundi chenu na kukurupuka, panueni vichwa vyenu kutafuta ukweli wa vitu.


By the way branch yenu inayohusika na mashoga inaendelea??



To provide a safe spiritual and social community to lesbian, gay, bisexual, transgender, and intersex current and former Seventh-day Adventists, their families, and those who support them.

Our mission is to provide community and advocacy for LGBTIQ individuals with a Seventh-day Adventist connection, their families, and those who support them because of this important truth—everyone is created in the image of God.

If you belong to this community, our pledge is to stand with you, no matter where you are in your journey, because we believe this truth: Your journey is important, your voice should be heard, and you should never be mistreated or discriminated against because of your sexual orientation or gender identity.

If ever you need someone to talk to, we’re here to listen.

OUR MISSION
 
Jambo mkuu! Mada za hivi hua unafungua turbo kbs..hongera
Bahati mbaya sana wale ambao wanazusha haya mambo hawapo tayari kujadili kwa reasoning na hoja,wao wanaweka maelezo halafu wanataka tu uamini....
 
Bahati mbaya sana wale ambao wanazusha haya mambo hawapo tayari kujadili kwa reasoning na hoja,wao wanaweka maelezo halafu wanataka tu uamini....
Kwanini usipinge hoja au hii mada kwa kukanusha na ukaeleza mstari kwa mstari kahaba mkuu ni nani?? Kuliko kubwabwaja tu
 
Amen!
 
Wewe!!! Upo sawa sawa...I mean akili yako ipo sawa
 
Aroon acha kupotosha, kila mtu ana sababu za kuabudu anapoabudu, wote twamuabudu Mungu. Na ikumbukwe sio dini itakayompeleka mtu mbinguni, matendo,...ndo jambo LA msingi zaid.

Sent from my TECNO-N8 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…