Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muache uongo basi!nliwaomba mniletee ni papa yupi na ni lini ukatoliki ulibadili kusali kutoka jumamosi kuja jumapili namlete n amri zipi kumi zmefutwa na zipi zimebadilishwa hakuna aliyejibu mpka ss mnaruka ruka tu!Acha uongo wewe,unaposema biblia ni kazi ya wakatoliki una maanisha nini,biblia ni kazi ya Mungu mwenyewe,
Kanisa katoliki ndie adui mkubwa wa biblia
Mafungu mengi ya biblia yanabadilishwa taratibu na kwa siri sana kwa kupitia kanisa katoliki
Amri za Mungu zilizotolewa pale sinai zimebadilishwa na kanisa hili
Katechsm inasema wazi"kwa mamlaka ya kanisa tumeamua kuibadili sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili"
Soma amri kumi za Mungu zilizo kwenye catechsm na zilizo kwenye biblia utaona uchakachuaji uliopo mule
Kuna amri zimeondolewa na nyingine kugawanywa ili kutimiza amri kumi ambazo sasa sio zile halisi alizotoa Mungu
Kanisa katoliki halina mamlaka ya kubadili maagizo ya Mungu[amri zake kwa namna yoyote ile.
Sheria ya Mungu haibadiliki.
Soma mathayo 5:17-19,1 yohana 2:3-5,1 yohana 5:3
Soma maandiko kwa makini sana utaigundua siri ya kuasi ambayo imewadanganya wengi kwakuwa inatenda mambo yake kwa siri sana
Acha uongo wewe,unaposema biblia ni kazi ya wakatoliki una maanisha nini,biblia ni kazi ya Mungu mwenyewe,

Soma mathayo 5:17-19,1 yohana 2:3-5
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Thats all...!hawana kitu kingine zaidi ya hayo.Nmechoka kujibu hawa watu mana hoja zangu hawajibu wanazunguka kwny maneno yaleyale na kujipa tumaini lile lile.inaonekana mko so obssessed na ukatoliki na upapa na wala hamlet neno la Mungu zaid n kuponda tu
Mkuu naomba July 14 unitag.na itakuwa aliyetuaminisha, si mwingine ila ni BI ELLEN G WHITE
hulijui kanisa katoliki, utamjuaje padre ??????
"awasikilizaye ninyi ananisikiliza mimi, naye awakataaye ninyi anikataa mimi; naye anikataaye mimi amkataa yeye aliyenituma," ----Lk 10:16
kwa taarifa yako
Padre ni mtumishi wa Mungu anayejitoa sadaka kwa ajili ya wokovu wa watu wa Mungu.
Licha ya sadaka hiyo, padre ni mwanadamu kama wanadamu wengine, aliyetwaliwa kati ya watu kwa mambo ya muhusuyo Mungu,
nanukuu Ebr 5:1-3.
"maana kila kuhani mkuu aliyetwaliwa katika wanadamu amewekwa kwa ajili ya wanadamu katika mambo yamhusuyo Mungu, ili atoe matoleo na dhabihu kwa ajili ya dhambi; awezaye kuwachukulia kwa upole wao wasiojua na wenye kupotea, kwa kuwa yeye mwenyewe yu katika hali ya udhaifu; na kwa sababu hiyo imempasa, kama kwa ajili ya watu, vivyo hivyo kwa ajili ya nafsi yake mwenyewe, kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi, "
Padre hata baada ya upadrisho wake anaendelea kuwa mwanadamu. Na hali ya kibinadamu ni hali ya unyonge, uchovu, kushawishika pamoja na kukata tamaa.
"kama ningekutana na malaika pamoja na Padre, ningeweza kumsalimia kwanza Padre, kwani Malaika ni rafiki wa Mungu, na Padre ni Mhudumu wa Mungu."----by saint Francisco
"acha eneo na sehemu yoyote bila Padre kwa miaka ishirini, matokeo yake watu wataanza kuabudu wanyama."-----by saint Yohane Maria Viane
"awasikilizaye ninyi ananisikiliza mimi, naye awakataaye ninyi anikataa mimi; naye anikataaye mimi amkataa yeye aliyenituma," ----Lk 10:16
wewe ulitaka tukakaririshwe hivi vitabu chini ???????
Tumaini kuu, ,
Afya na Raha
Siri ya Ushindaji,
Vita Kuu
pendo lisilo kifani
ni vya nani UTAJUA MWENYEWE....................
SO, kwa hiyo labda ulitaka tukusaidie nini ?????????????
Nafikiri hukunielewa,Wakatoliki ndio walio compile biblia kwa mfululizo huo unaosomwa leo na jamii zote za wakristu,yani kitabu cha Mwanzo mpaka Ufunuo wa Yohana,ukitaka historia utaipata Ila kwa sasa tujikite "Kababa wa Ufunuo " kama isemavyo heading ya uzi.Acha uongo wewe,unaposema biblia ni kazi ya wakatoliki una maanisha nini,biblia ni kazi ya Mungu mwenyewe,
Kanisa katoliki ndie adui mkubwa wa biblia
Mafungu mengi ya biblia yanabadilishwa taratibu na kwa siri sana kwa kupitia kanisa katoliki
Amri za Mungu zilizotolewa pale sinai zimebadilishwa na kanisa hili
Katechsm inasema wazi"kwa mamlaka ya kanisa tumeamua kuibadili sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili"
Soma amri kumi za Mungu zilizo kwenye catechsm na zilizo kwenye biblia utaona uchakachuaji uliopo mule
Kuna amri zimeondolewa na nyingine kugawanywa ili kutimiza amri kumi ambazo sasa sio zile halisi alizotoa Mungu
Kanisa katoliki halina mamlaka ya kubadili maagizo ya Mungu[amri zake kwa namna yoyote ile.
Sheria ya Mungu haibadiliki.
Soma mathayo 5:17-19,1 yohana 2:3-5,1 yohana 5:3
Soma maandiko kwa makini sana utaigundua siri ya kuasi ambayo imewadanganya wengi kwakuwa inatenda mambo yake kwa siri sana
Acha uongo wewe,unaposema biblia ni kazi ya wakatoliki una maanisha nini,biblia ni kazi ya Mungu mwenyewe,
Kanisa katoliki ndie adui mkubwa wa biblia
Mafungu mengi ya biblia yanabadilishwa taratibu na kwa siri sana kwa kupitia kanisa katoliki
Amri za Mungu zilizotolewa pale sinai zimebadilishwa na kanisa hili
Katechsm inasema wazi"kwa mamlaka ya kanisa tumeamua kuibadili sabato kutoka jumamosi kwenda jumapili"
Soma amri kumi za Mungu zilizo kwenye catechsm na zilizo kwenye biblia utaona uchakachuaji uliopo mule
Kuna amri zimeondolewa na nyingine kugawanywa ili kutimiza amri kumi ambazo sasa sio zile halisi alizotoa Mungu
Kanisa katoliki halina mamlaka ya kubadili maagizo ya Mungu[amri zake kwa namna yoyote ile.
Sheria ya Mungu haibadiliki.
Soma mathayo 5:17-19,1 yohana 2:3-5
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Nini...?Sijaelewa au
Fafanuzi za uongo hizo kitabu cha ufunuo kiko wazi kwa sababu kabla ya ufunuo kili funuliwa chote yote yaliyomo kwenye ufunuo yametafsiliwa na vitabu nya nyuma
Bahati mbaya sana wale ambao wanazusha haya mambo hawapo tayari kujadili kwa reasoning na hoja,wao wanaweka maelezo halafu wanataka tu uamini....Jambo mkuu! Mada za hivi hua unafungua turbo kbs..hongera
Kwanini usipinge hoja au hii mada kwa kukanusha na ukaeleza mstari kwa mstari kahaba mkuu ni nani?? Kuliko kubwabwaja tuBahati mbaya sana wale ambao wanazusha haya mambo hawapo tayari kujadili kwa reasoning na hoja,wao wanaweka maelezo halafu wanataka tu uamini....
Pole wewe ambaye umeshindwa hata kujenga hojawasabato bhana mmecheka sana asee polen sana
Amen!Kweli kabisa maandiko yapo wazi kuwa mpinga Kristo hukataa Yesu kuwa ni Kristo.Swali hao Wakatoliki hufanya hivyo? Kama sio nani basi ni mpinga Kristo? Nawashauri wasabato waache uchochezi wamtafute Mungu sabato ni namna tu ya kuabudu siyo tiketi ya mbinguni.
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Wewe!!! Upo sawa sawa...I mean akili yako ipo sawaAliye fufuka,au kupaa mbinguni siyo Yesu kristo Bali ni kristo,Yesu ni mwili tu waduniani,na jina Yesu kristo lilipatikana pale neno lilipovaa (ungana) mwili wa duniani ambao ulibaki duniani na kilichopaa ni kristo (neno au roho)tu. Soma 1 corinthians 15;20 na yahana 1:1
Sent from my BLU Advance 5.0 using JamiiForums mobile app
Hoja ni nini..??Pole wewe ambaye umeshindwa hata kujenga hoja
Kahaba Mkuu ni Nabii Mke Ellen G White ulikuwa hujui...??Kwanini usipinge hoja au hii mada kwa kukanusha na ukaeleza mstari kwa mstari kahaba mkuu ni nani?? Kuliko kubwabwaja tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kahaba Mkuu ni Nabii Mke Ellen G White ulikuwa hujui...??