Mfahamu kahaba mkuu wa Ufunuo 17

Sijaelewa logic yako hapa, kama history ndio imekuongoza kuandika haya nafikiri urejee maandiko je waisreli si ndio wanatajwa kwenye maandiko kuwa wateule? na je si ndio hao waliomsulubisha kristo mpaka kufa na mpaka leo wengi wao siyo wafuasi wa dhehebu lolote hata hilo dhehebu unaloliabudu, je kwa maana hiyo nafasi yao kuabudu katika roho na kweli imefutwa? ndugu kama bado uko kidhehebu zaidi funua macho yako na Neema ya Bwana ikuzukie ujuwe tu wakati wa kuabudu kule yerusalem au juu ya vilima umepitwa yaani watu wanamwabudu Mungu katika roho na kweli na Baraka na Neema wanapokea haijalishi wamesimama mlima horebu au sayuni! Usiwe kama farisayo ndugu kujifikiria uko sahihi sana mahali unapoabudu au mtindo unaotumia kuabudu! huko siyo kuabudu katika roho na kweli!
 
Tafakari ya aina hii ya maandiko ndio kusema ulivyolelewa katika makuzi yako ya kiroho jaribu kufikiri kama hii itakufikasha mbinguni angalia usije kuhesabiwa fungu moja na wakosaji!
 
tatizo kubwa la wakatolic hawasomi bible kama wenzao wasabato.
na watawatoa kamasi katika mijadala ya aina hii
Hivi kuna hoja ya kujadili hapo...?

Mtu anasema dark ages miaka ya 1800 serious..Unajadili nini...?
 
Tafakari ya aina hii ya maandiko ndio kusema ulivyolelewa katika makuzi yako ya kiroho jaribu kufikiri kama hii itakufikasha mbinguni angalia usije kuhesabiwa fungu moja na wakosaji!

Yupo mwingine hapa anasema miaka ya 1800 ulikua ni dark ages, kipindi ambacho wazungu walikua wanakimbilia milimani wanamuogopa papa.....

Wakati huo huo Hawa Wazungu miaka Hiyo tayari wameshafika Afrika, USA tayar imeshapata uhuru miaka 100 iliyopita, waarabu tayari wameshafika Tanzania! [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Kweli elimu ni ufunguo wa maisha.
 
Habari wala haieleweki sitegemei kama alieiandika hapa ni mzima kiakili
 
Mboni ya jicho kwa mujibu wa nani.
.? Ni wapi pameandikwa Wasabato ni mboni ya jicho la Mungu..

Labda mboni ya jicho la Bibi Ellen Gould White
kwa mujibu wa maandiko ya Bibilia takatifu,asomaye na afahamu
 
Hizi tofauti za madhehebu zinachanganya kiasi cha kushindwa kujua ni zipi sifa za mkristo. Kwa ukubwa wa tofauti ya haya madhehebu haiwezekani wote wakawa ni wakristo.

Ni yapi ya kumfanya mtu awe mkristo?
Matendo mema ndio ishara ya mkristo
 
Mm mkatoliki,hvi nikijichongea langu hiyo sanamu nikaiweka ndani kwangu je naweza pata wokvu tofauti na kanisani?
Nadhani Mungu anasema usijifanyie sanamu kwa kitu chochote kile iwe cha mbingunia au duniani na kukipigia magoti
 
Mie ni Mlutheran, ila umeongea points sana mkuu, big up sana[emoji109] [emoji106] [emoji4]
Asante sana mkuu. Kwa Wasabato hata nyie Walutheran ni wafuasi wa ajenti wa Shetani tu (Papa). Mkitaka kuwa watakatifu badilisheni siku ya kusali na anzeni kusali Jumamosi. Vinginevyo, kulingana na Wasabato, mbingu mtaishia kuisikia tu. Wao peke yao ndo watakwenda mbinguni!
 
Nimlazimishe kila mtu ninachoamini mimi ni nani? Yeye ninayemwaminisha kuamini ninachoamini hana akili na weledi wake mwenyewe?

Wewe ni Jehova's Witness na kama walivyo wenzako hamruhusiwi kujisomea Biblia wenyewe mkaielewa na kujenga mahusiano ya moja kwa moja na Mungu. Kila kitu ni lazima mkaririshwe kutoka Makao makuu yenu Brooklyn. Nimeshatembelewa na Jehova's Witness wengi na huwa nawakalisha chini na kuwaelimisha mambo mengi na kuwapa ushuhuda wangu kuhusu umuhimu wa kuwa na uhusiano binafsi na Bwana wetu Yesu Kristo. Nilifikia mpaka nikachapisha kipeperushi cha kuwafumbua macho kulingana na mafunzo ya Biblia. Lakini kwa vile hawaruhusiwi kusoma kitu kingine cho chote ambacho hakijapitishwa na headquarters basi huwa hawasomi wala kuchukua kipeperushi changu. Matokeo yake sasa wakija huwa wanairuka nyumba yangu [emoji23][emoji23][emoji23]

Fungua macho rafiki yangu na ukileta mambo ya kucopy na ku paste hapa JF basi uwe tayari kuyatetea. Siyo una paste mambo ambayo huyajui na ukiulizwa ni lazima uulize makao makuu Brooklyn New York. Waachie wajuzi na jikite kwenye mambo unayoyaelewa na unayoweza kuyatetea. By the way, kulingana na Wasabato, Jehova's Witness nao ni mabinti wa yule kahaba mkuu [emoji116][emoji116][emoji116]

Kwa heri mkuu na uwe na mwaka mpya mwema!
 

Sasa mbona nikiangalia wasabato ndo wanaotoka kamasi humu?
 
tatizo kubwa la wakatolic hawasomi bible kama wenzao wasabato.
na watawatoa kamasi katika mijadala ya aina hii
Biblia wataisoma saa ngapi?mafundisho kama ni j2 somo moja linafundishwa dunia nzima,kama leo wanasoma kifungu cha biblia kimoja,kifungu hicho hicho watakachosoma hapa tz,hivo hivo watakisoma waliopo kenya,vietnam,marekani,na viongozi wa dini wajanja hawataki wafuasi wajue ukweli wa kuichambua biblia.wakianza kuhoji watajua jinsi wanavodanganywa.
VICARIUS FILII DEI=666 is papacy symbol
 
tatizo kubwa la wakatolic hawasomi bible kama wenzao wasabato.
na watawatoa kamasi katika mijadala ya aina hii

Mbona naona wasabato ndo wanatoka utoko? Mara 1800 dark ages. Historia ya kukaririshwa!
 
Et uko bize unapronounce mbele ya great thinkers kwamba dini flani ni ya kikahaba na binti wa makahaba, wakati huo cjui unakuwa umelala au unafanya nn, sometime hichi chama chenu cha siasa kinavuka mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…